Featured
Loading...

Mixtape "STREET MINDED by STONE HOODSTAR" Coming Song, Don't Miss It

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE




Muonekano wa Kava la 'STREET MINDED' 


Msaanii wa Muziki wa kizazi kipya anayefanya vizuri kwa njia ya mtandao wa internet StoneWaKitaa maarufu kama Mr.Promo au Meya Wa Mji
ametoa rasimi tamko lake kuhusu kazi zake kwa mwaka huu 2015amesema kuwa ule mfululizo wa kutoa mixtape kila mwaka unaendelea, na mwaka huu mixtape yake itakwenda kwa jina la "STREET MINDED Volume 2" yenye Nyimbo 12 , ikiwa ni mfululizo wa 'Series' ya mixtape zake alizo zipa jina la "STREET MINDED" , ikiwa inatarajiwa kutoka rasimi 24/6/2015
"STREET MINDED" -Ni Mixtape 'Kanda Mseto' ambazo zina beba nyimbo zenye maudhui mengi kuhusu maisha ya mitaa aliyo wahi kuyapitia au kuyaona katika maisha yake, au chochote kilichomgusa katika maisha yote ya kimtaa.

Akielezea zaidi kuhusu 'STREET MINDED'-ni mtu mwenye mtazamo chanya kuhusu maisha ya kitaa (mtaani) na jinsi gani mtu ana-struggle mpaka kufikaia malengo yake kupitia jina alilotengeneza mtaani.

KWANINI JINA LA STONE WA KITAA:-
"WA KITAA" alisema jina hilo alipewa akiwa mdogo enzi bado anatafuta jina katika muziki, alijikuta ni mtu wa kujichanganya mitaa mbali mbali ya mikoa ya Tanzania ikiwemo Dar Es Salaaa, Mwanza, Tabora, Dodoma, Arusha na mikoa mingine

Lini Alianza Kufanya Mixtape 'KANDA MSETO':-
Nilianza kufanya Mixtape mwaka 2007 nikiwa DSM, nilitoa;
"RISING TO FAME-The Handwork” 2007.
"HARAKATI KWENYE KIOO Part 1” 2008, 
"HARAKATI KWENYE KIOO Part 2" 2009,
"CRUNK12 au C12" 2010
"THE OUTLAY MIXTAPE" 2011 
"STREET MINDED-The EP” 2013
"BEST OF STONE WA KITAA" 2014
"STREET MINDED Vol. 2" 2015
Aliendelea, "Wakati naanza kutoa mixtape 2007 biashara ya kuuza muziki kwa njia ya mtandao haukiwa maarufu hapa Tanzania, hivyo zilitoka kwa mfumo wa CD, ambapo wateja waliweza kuuziwa popote walipohitaji lakini kuanzia mwaka jana 2014 nimeanza kuuza mixtape hizi kupitia Mkito.com mtandao unaosaidia kuuza kazi zetu kirahisi kupitia mtandao wa intanet, ambapo mteja anaweza kusikiliza album nzima kisha hata kununua, hii imerahisisha kazi yangu ya kufikisha nyimbo kwa mashabiki wangu wengi..." Alisema.

Akiongeza .."Mwaka huu natarajia kuuza muziki kupitia Itunes, VEVO na Amazon, baada ya kampuni moja ya Kimarekani inayoitwa "101 DISTRIBUTIONS" iliyopo California, kunipa mkataba wa kusambaza kazi zangu kupitia mitandao hiyo ambapo nitalipwa kwa jinsi , mashabiki wanavyo sikiliza, Kuangalia Video au Ku-download nyimbo zangu mtandaoni"

Mpaka sasa Wimbo wangu wa "I DO MY THANG" (Wimbo #1 wa Street Minded Vol.2) Tayari imetoka na kwa sasa inapatikana kupitia mkito.com. (Tafuta "STONE HOODSTAR") na video yake itatoka baada ya PASAKA.

MSIMAMIZI WA KAZI ZA STONE HOODSTAR:-

Kwa sasa kazi zangu zinasimamiwa na "PROMO HOUSE BUZZ" maarufu kama "PHBMUZIK" Kampuni yangu binafsi niliyoianzisha mwaka 2013 kwa ushirikiano na marafiki zangu wa karibu ambao wanaelimu juu ya masoko na promotion ammbayo ina timiza mwaka wa pili sasa.

SIKILIZA MZIKI WAKE HAPA:-


pia kupitia www.mkito.com ,wanitafute kwa jina la "Stone HoodStar"


MITANDAO YA KIJAMII:-

SIMU +255 767 615816.

MIALIKO:-
Managers/ Wasanii/ Watangazaji/ Promoters kwa ushirikiano zaidi kikazi nawapenda wote.

KAVA ZA MIXTEP HII:-


Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top