Producer wa vibao vingi vikali hapa Tanzania vikiwemo Msambinungwa, My No1 ya diamond na nyingine nyingi.
Usiku wa Sheddy Clever uliadhimishwa usiku wa Tarehe 8 Novemba mjini Tabora katika ukumbi wa Florida Pub huku akiongozwa na wasanii baadhi kama Doch, Ally Nipishe, Sajna, Hadlee na wengine. Producer huyu alitumia nafasi hiyo kuwashukuru watu wake wa Tabora kwa heshima kama nyumbani alikozaliwa kwa namna wanavyoshabikia uzuri wa kazi zake. Licha ya kushukuru aliwasihi pia vijana kuto kata tamaa katika kukamilisha malengo yao.
Mabokela, msanii wa kizazi kipya.
Hadlee
Doch
Ally Nipishe
Papaa Misifa (kushoto) na Ally Nipishe
Sajna
Sheddy Clever (kushoto) na Papaa Misifa mmoja ya waliofanikisha kufanyika kwa onesho hilo