Featured
Loading...

YASEMEKANA: "MSANII HUSSEIN MACHOZI APOKEA KICHAPO NA MASAA 24 KUONDOKA KENYA"

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE


Hussein Machozi
Hussein Machozi
It sounded astonishing, so damning like a fellow caught doing drugs in Singapore.

Msanii huyu mashuhuri wa bongo flavor leo hii katika hoteli flani ya kitalii hapa jijini Mombasa alijipata matatani baada ya kupatikana akiwa na mke wa kiongozi flani mashuhuri wa hapa nchini. Yasemekana mheshimiwa huyu amekua akimkulia timing Machozi bila mafanikio lakini leo siku arobaini zilitimia kwake msanii huyu mkosa adabu, [read the Blackstar Entertainment update whose Facebook link had been copied to the Pulse editor. In a nutshell, the writer was insinuating that Machozi had been having a secret affair with a top politician’s wife and after learning of it, the politician had been tracking the two all along until this day when he ‘caught them].
Msanii huyu alipatikana red handed na mke wa kiongozi huyo kwa kitanda na hapo ndipo masaibu yakamkumba na kuamrishwa aondoke hapa nchini kwa masaa aliopewa, [the dossier concluded and so with an exclamation]: “Je, wewe kama shabiki wake wamshauri vipi?”
Some Facebook responses were as hilarious as the reports. One Job Chilibasi reasoned that the news would not stop a steamy affair as ‘watakutana huko bongo’ while Pettie Nashipai added that ‘utamu wa maisha, kipendacho roho dawa...ashapata Hussein, ashapata yake mbona mwamgeuzia?”

What more to add ...for that is this week’s dispatch from the Coast!

Source: Standard Kenya

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top