Timu mbalimbali zikiwemo za maveterani Tabora na Moshi zikichuana katika bonanza na timu nyingine mjini Tabora katika kiwanja cha bwalo la Polisi jamii. Maelezo na matukio zaidi yatakujia.
Mwenda
Veterani Tabora
Michuano ikiendelea
Wachezaji wa Moshi Veterani Club wakipiga picha za pamoja chini ya udhamini wa kinywaji cha K Vant.
Waamuzi
Wachezaji wa timu ya CWT (Chama cha Walimu Tanzania)
Kazi na dawa huku wakifuatilia mtanange
Kazi na dawa
Picha ya pamoja kati ya maveterani Tabora (Jezi ya blue) na maveterani Moshi.
Good time na wadau wa Moshi






