
Mwanadada RECHO (Recho Mapenzi) anayetamba na kibao chake cha Replay sasa ameachia kibao kingine kikali chenye hadhi ya kusikilizwa masikioni mwako, amekipa jina la NARINGA pata kusikia mwenyewe maringo yake. (RECHO MAPENZI - NARINGA) Ngoma imefanywa na Producer RASH DON katika studio ya KIRI REC
KUUPATA WIMBO HUO BFYA HAPA AU Hapo chini
KUUPATA WIMBO HUO BFYA HAPA AU Hapo chini