
Hii ndio ngoma ya ROMA inayoitwa MAUMIVU aliyoiimba na BOB JUNIOR, ngoma hii imefanywa na studio za SHAROBARO MUSIC.
Sasa ni zamu yako shabiki wa wasanii hawa kusikia ladha yao wakiwa na saggz za pamoja kati ya ROMA na BOB JUNIOR. Ukali wao wa kazi upo katika wimbo wao huu (Roma - MAUMIVU ft BOB JUNIOR)
