
AT mkali wa miduara baada ya ukimya kidogo sasa amekuja kivingine na kibao kipya kiendacho kwa jina la SITAKI KUSEMWA. Ni wimbo unaaminika kuja vizuri na kubamba soko lake la miduara kama kawaida yake. Mzee wa kuwazungusha kwenye miduara anaomba mashabiki mmpokee vizuri.