
Katika uwanja mzima wa burudani hapa Tanzania basi "Mkubwa na Wanae" ni moja ya wanamziki maridadi wenye vionjo usivyoweza vipata kokote kule. Hii hapa ni shidaaa nyingine kwako wewe shabiki wao. Wimbo wao unaitwa "NISEME" pata kuusikiliza na kuupakua (Download) sasa.