
Msanii chipukizi ambaye bado ni mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari ya Nyamwezi (2014). Amegundulika kuwa na kipaji cha uimbaji kupitia mwl wa starehe wa shule hiyo ambaye naye ni msanii anayefahamika kwa jina la Deevon ambaye alishirikishwa kwenye video ya Belle 9 katika video ya Nilipe nisepe. Sikiliza kipaji hiki.