
Watanzania sasa waweza safisha macho yako kwa kuitizama video hii, video imeongozwa na Msafiri Shabani. Audio ya wimbo huu imefanywa na C9 wa C9 Records. Pia waweza ipakua (download) moja kwa moja hapo chini. Kujua namna ya kupakua video kirahisi bofya HAPA