Featured
Loading...

T.I Athibitisha Kutua Dar Kwenye Makamuzi ya Serengeti Fiesta 2014

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE


Na djfettytz.com. Maswali mengi tuliyokuwa tukijiuliza juu ya msanii gani wa kimataifa atakae dondoka Dar kwa ajili ya finali za tamasha la Fiesta leo hii yamepata majibu.
 Akitangazwa kupitia kipindi cha XXL akiwepo Fetty na B12, watangazaji hao walihesabu mpaka kuanzia 10 mpaka 0 ilimradi tu kuwapa kiraruraru wasikilizaji wao na mwisho wa siku wakamtangaza msanii wa kimataifa T.I kutoka Marekani kuwa ndie atakaefanya makamuzi ndani ya Serengeti Fiesta 2014, itakayofanyika tarehe 18 October 2014 kwenye viwanja vya Leaders Club...msikilize hapa chini akithibitisha uwepo wake

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top