Featured
Loading...

Mabinti Wakali wa Marais wa Afrika Wanaotikisa

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE


SAFU hii mpya itakuwa yakutoa elimu kwa wasomaji. Wiki hii tunaanza na baadhi ya mabinti wa marais wa Afrika ambao wanatikisa sana katika mitandao mbalimbali kutokana na sifa zao tofauti.
AngePaul Kagame

Ni binti wa Rais wa Rwanda, Paul Kagame. Alizaliwa mwaka 1989. Kwenye mitandao amekuwa akisifiwa kuwa ni ndiye binti mrembo kuliko wengine.
***

Faith Sakwe Jonathan

Huyu ni mtoto wa Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan. Amefunga ndoa Aprili, mwaka huu. Naye anatajwa na mitandao kwamba ni mrembo.
***

Nyepudzayi Bona Mugabe

Ana miaka 24. Ni binti wa Rais wa Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe. Ni binti aliyetikisa mitandaoni kutokana na mambombalimbali ya kijamii. Amefunga ndoa hivi karibuni
***

Sifa Joseph Kabila
Amezaliwa mwaka 2001, baba yake ni Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Joseph Kabila. Anatajwa kuwa binti mtulivu na msikivu.
***

Ngina Uhuru Kenyatta

Mwaka huu amekamata wa 23, baba yake ni Rais wa Kenya, Uhuru Jomo Kenyatta. Mitandao inamtaja kwamba ana mvuto, pia anaongoza kwa kuwa na marafiki wengi wa kike.
***

Stella Mutale Sata
Baba yake ni Rais wa Zambia, Mutale Sata. Binti mwenyewe yupo poa sana kwa sasa ana miaka 20 tu.
***

Diana Karuguire Museven

Ni binti wa Rais wa Uganda, Joel Kaguta Museven. Amefunga ndoa. Mitandao inamtaja ni binti aliyetulia ndiyo maana akapigwa jicho na mwanaume na kufunga ndoa. Credit: GPL

Binti wa Rais gani wataka kumjua walau kwa picha...?

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top