Featured
Loading...

PICHA AJALI YA BASI ILIYOTOKEA GAIRO MAPEMA LEO

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE


Inakadiriwa kuwa kiasi cha watu 46 wamefariki dunia mchana wa leo katika ajali ya basi la kampuni ya Airbus lililokuwa likitoka Dar es Salaam kuelekea Tabora baada ya limepindukia bondeni katika maeneo ya maeneo ya Kiegeya. Gairo. 
Kwa taarifa zilizoifikia mpaka sasa ni kwamba Viongozi Mbali mbali wa Serikali na raia wamefika katika eneo la tukio kwaajili ya kutoa msaada ambapo imeripotiwa kuwa majeruhi ni wengi. tutaendelea kukupatia habari kuhusiana na hili. 

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top