Featured
Loading...

Sheedah ya Shilole Jukwaa la Serengeti Fiesta Tabora

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE



Jamaa mwenyeji wa Tabora aliyevunja rekodi ya kudance na kukubalika jukwaani manusura kuteka uwepo wa watizamaji karibu wote uwanjani hapo katika Tamasha la Serengeti Fiesta 2014-Tabora
Check ukaliwake wa mauno hayo akicheza na mmoja wa ma-dancer wa Shilole katika tamasha la Serengeti Fiesta 2014 Sambaza Upendo, hii ilikuwa ndani ya uwanja wa Al'Hassan Mwinyi Tabora.
Kwa umashuhuri wa kumkomesha dancer mmoja Shilole akaamua kumkomesha kwa kumkabidhi madada wote awakomeshe, hakika jamaa si balaa tuu anajua sanaaaa.... Basi shangweeeeeee kweli kweli kwa waliohudhuria tamasha hilo la Serengeti Fiesta 2014-Tabora
Sheeedaaah...!
Huyu jamaa mashabiki walimkataa viwango vyake vilikuwa vya kawaida katika maufundi ya jukwaani, akashushwa.
Huyu naye alionekana kama Serengeti zilikuwa zinamuongoza nini cha kufanya jukwaani, akashuswa chini.
Mama Shilole akisema na mashabiki huku show ikibamba...


Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top