Featured
Loading...

Single Mpya ya TDX Wangex Inaitwa AMBITIONS; Ipate Hapa Bila Kukosa

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE



Huku tukisubiri full release ya mkali wa Hip Hop TDX Wangex leo tunapata single ya kwanza iitwayo AMBITIONS FT KABINOVA kwenye Mixtape yake iitwayo CITY 2 CITY. Tusubiri nyimbo nyingine 19 wiki ijayo tarehe 8/9/2014.

Ujumbe kutoka kwa TDX Wangex!

"Kwa wadau wangu wote na wapenda Hip Hop Ile Mixtape yangu ya kijanja iliyokuwa inapikwa kwa muda mrefu sasa imekamilika na iko tayari kwa ajili ya wewe mdau kuweza kuisikiliza. City to City Nixtape ni mixtape inayoelezea Maisha Halisi ya Mtanzania katika Nyaja tofauti, Katika Mixtape hii kuna ngoma takribani 20 kwa ajli yako wewe mdau wa Tdx Wangex sasa ni muda wa kuwa na Mixtape yako upate kusikia nini nimefanya katika mixtape hiyo kwani utapata kusikia sauti tofauti mbali na Tdx Wangex. Jipakulie kupitia Mkito.com!"



Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top