Featured
Loading...

AUAWA KWA KUCHOMWA MOTO WAKATI WAKIGOMBEA MWANAMKE

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE


Baadhi ya watu wakiwemo watoto wakiangalia mwili wa kijana aliyeuawa kwa kupigwa na baadaye kuchomwa moto eneo la kata ya Kiloleni manispaa ya Tabora ambapo kwa taarifa kutoka kwa vyanzo vyetu zimeeleza kuwa kijana huyo alitekwa na kundi la vijana wenzake majira ya usiku wakigombea msichana hatua ambayo ilisababisha kufanyiwa unyama huo uliosababisha kifo chake.Hata licha zogo kubwa lililotokea lakini hakuna mwananchi hata mmoja aliyejitokeza kwenda kumsaidia kijana huyo ambaye hadi umauti unamkuta hakuna mtu aliyemfahamu mara moja huku vijana waliotekeleza unyama huo wakitokomea kusikojulikana.

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top