Taarifa iliyoripotiwa na kituo cha Radio One imesema kuwa hofu imetanda eneo la Kijitonyama Dar es Salaam karibu na kanisa la KKKT baada ya kuonekana kwa kitu kinachodhaniwa kuwa ni bomu, na kwa mujibu wa taarifa hiyo jeshi la polisi tayari wamefika eneo la tukio na kuweka ulinzi eneo la tukio kwa sababu za kiusalama.
Loading...
Taarifa ya Kinachosadikiwa Kuwa ni Bomu Dar es Salaam.
Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
MAPENZI MATAMU BLOG