Misa ya mwisho kabla ya mazishi ya mpendwa wetu Happiness aliyekuwa mwanachuo wa AMUCTA mwaka wa tatu BPRM. Marehemu alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa sickle cell pamoja na typhoid. Marehemu alizaliwa mwaka 1991 na kufariki mwaka huu 2014, Oktoba 29. Mazishi yamefanyika leo tarehe 31/10/2014 Morogoro.
Picha na mdau wa mtandao huu "Imma Kepha".