Featured
Loading...

MSANII MIKE T AVAMIWA NA VIBAKA

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE



Mike Tee
Msanii wa Hip Hop ma muongozaji wa video, Mike Tee aka Mnyalu leo asubuhi ameibiwa laptop pamoja na vifaa vingine baada ya kuvamiwa na watu wenye silaha wakati akielekea kazini. “Leo hii (tarehe 21) asubuhi majira ya saa 05:30 nikiwa naelekea ofisini , nimevamiwa na watu watano wenye mapanga wakiwa na gari aina RAV4 ya silver no. T280AZQ wamechukua laptop yangu MacPro, External

HDD 4, Headphones za Sony na Modem. Ninachoshukuru nimepona ila nnachoomba atakayeiona gari hii popote atutaarifu kwa number +255754310202 / na ntampatia cash 300,000 then ntadeal nao mwenyewe,” aliandika kwenye ukurasa wake wa Facebok.

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top