Msanii SirMoe mkali wa HipHop ameamua kujumuisha nyimbo 5 kati ya nyingi alizo nazo ambazo ziko vizuri sana. miongoni mwa nyimbo hizo anazozimiliki ni Huu mwaka, Free Mason, top level, Knock Out, My Everthing, Tunaelewa, Flows, Sababu moja tu na kadaharika.
Hivi Punde ataachia baadhi ya nyimbo kali alizozipa kipaumbele kama zimtambulishe vizuri kwa Watanzania wengi kwa kile anachokifanya katika tasnia ya mziki wa bongo HipHop.
Endelea kupitia mtandao huu na mingine mingi Tanzania