Featured
Loading...

WAKE WA MARAIS WA AFRIKA WANAOTIKISA

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE


Kwa mujibu wa GPL wanasema;
Baada ya wiki iliyopita kuwaletea mabinti warembo wa marais wa nchi kadhaa za Afrika wanaosifika kwa uzuri, wiki hii tunawaletea wake wa marais wa nchi hizo ‘wanaokimbiza’ kwa uzuri, uvaaji nk.

Ana Paula Dos Santos.
Ana Paula Dos Santos 
alizaliwa1964, ni mke wa Rais wa Angola, Jose Eduardo Dos Santos, Paula ni mwanamitindo wa zamani, anasifika kwa uzuri na kujua kuvaa.

Mama Salma Kikwete.
Mama Salma Kikwete
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, alizaliwa 1963, anatajwa kuwa katika orodha ya wake wazuri wa marais wa Afrika, anasifika kwa mavazi yake ya kitenge.

Margaret Wanjiku Kenyatta.
Margaret Wanjiku Kenyatta
Ni mke wa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, anatajwa kuwa na tabasamu zuri ingawa nywele zake zenye rangi ya kijivu ni kivutio kikubwa. Kazaliwa Mwaka 1963.

Hinda Deby Itno.
Mialy Razakandisa Rajoelina 
Ni miongoni mwa wake vijana wa marais katika Bara la Afrika na anatajwa kuwa na ngozi nzuri na urembo wa asili, ni mke wa Rais Andry Rajoelina wa Madagascar.

Zaineb Jammeh Suma.
Hinda Deby Itno
Anafahamika kama mrembo wa Chad, pia anatajwa kuwa mmoja wa wanawake wa marais mwenye bashasha na tabasamu la kipekee, mke wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa Chad, Brahim Deby Itno.

Sylvia Bongo Ondimba.
Zaineb Jammeh Suma
Ni mke wa Rais wa Gambia, Yahaya Jammeh. Zaineb anatajwa kuwa ndiye mwanamke mrembo kuliko wake wengine wa marais katika Afrika. Amezaliwa1977, Rabat nchini Morocco.

Sylvia Bongo Ondimba
Mke wa Rais wa Gabon, Ali Bongo Ondimba, Sylvia ndiyo jina alilopewa na wazazi wake mwaka 1965, ni mzaliwa wa Paris Ufaransa, anasifiwa kwa uzuri. Na GPL

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top