
Mabibi na mabwana, tunawaletea official trailer ya Fast & Furious 7. akiwemo marehemu Paul Walker, movie inakadiriwa kuwa kwenye cinema karibu nawe April 3, 2015,
Miongoni mwa wasanii walioigiza humo ni hao katika picha

kwa sasa hivi burudika na kionjo hapo chini