Kazi nzuri inayosubiriwa kwa hamu sana. Hapo unapata picha ikiwa Mwasiti akimshirikisha Kingzillah katika kibao kitakachoenda kwa jina "LEO", combination hii ni ya maana sana kwa wasanii hawa wote wenye uwezo wamefanya kazi pamoja. Wewe endelea kufuatilia mtandao huu unaokuahidi kukuletea kibao hicho punde kitakapotoka tu 11 Novemba, 2014.
Loading...
Leo-Mwasiti ft Kingzillah | Coming Soon
Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
MAPENZI MATAMU BLOG