
Mwili wa mtuhumiwa ukiwa unaning'inia baada ya kupigwa risasi na kufariki dunia wakati akijaribu kuwatoroka askari Polisi Mahakama ya Kisutu Jijini Dar-es-salaam leo asubuhi.marehemu anajulikana kama Said H. Chabedwa

Askari wakiutoa mwili wa marehemu baada ya kujaribu kutoroka na kupigwa risasi na kufariki papo hapo.