Kabla ya mwaka kuisha ndani ya mwezi huu kupitia mtandao huu ngoma mpya ya Appson akimshirikisha Monny itaachiwa. Huku jina la wimbo likienda kwa jina la "SEMA YES"
Mtandao huu utakuhakikishia kukupa burudani zote msimu huu hadi uchoke. karibu sana.