 |
#HitimishoCypher2014Vol1 |
Baada ya kufanya vizuri mwaka jana kwenye #fidstyleFriday,vipindi vya kuonesha harakati za wasanii wa HipHop Tanzania vilivyo kuwa vikitayalishwa na FidQ Kupitia #CheusiDawaTV , hitimisho Squad Kundi Linalofanya Vizuri Mkoani Tabora , Kanda ya Magharibi na Tanzania kwa ujumla ,wameamua kuja na mfululizo wa Cypher zao wenyewe ambazo zitakuwa zinatoka kila mwaka,zikiambatana na sherehe ya kuzaliwa kundi hili,leo wanakuletea #HitimishoCypher2014 kwa mara ya kwanya inatoka kupitia blog hii.. enjoy mzigo full clip
wasanii walioshiriki ni GKifaa ambae pia ni Producer ,StoneWaKitaa(SWK), LizDaddy, Mashahili, PeterQ, YoungKing, Deevon, SirMoe na Lon Paul.
Directors wa Kazi hii ni Saleh Aman,Omry-J, StevChampion,Kadevister,Charz Michael, na Mode,
Shukrani za pekee zifike kwa Dolphin Production, Kapstone Production, Hitimisho Production, OutLine Media,TopBoyPix, Makala katembo, na aloyson.com
Special thanks to Outsiders like J-Chill (USA), Tizzle Tiz (UK)
kwa kufanikisha Kazi hii kufanyika na kusambaaa kila kona ya Tanzania na Nje ya nchi.
PLEASE **COMMENT** SHARE***
ENJOY THE CYPHER