
Mwana dada ajulikanaye kwa jina la kisanii BABY AISA mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya sasa afurahia kuachia kibao chake cha ANY TIME alichokiachia rasmi kupitia mkito.com mnamo tarehe 10 Agosti mwaka 2014. Baby Aisa ni mwandada mdogo sana katika game la mziki na mwenye kipaji na sauti nzuri.
Msikilize na kupakua wimbo wake kwa kubofya HAPA. Au hapo chini