Featured
Loading...

Ajibadili Jinsia na Kuwa Mwanamke: Mtambue Hapa

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE


Frank Maloney akishangilia ushindi wa Lenox Lewis 

Frank Maloney(61) promota maarufu wa ndondi wa zamani ambaye amewahi kuwa promota wa bingwa wa zamani wa uzito wa Juu Lennox Lewis ameamua kujibadili kuwa mwanamke na Kujiita Kellie. Kwa kauli yake Maloney alisema
Nimekuwa nikijisikia hivi tangu utotoni mwangu, hatimaye nimechoka kuishi kivulini.
Pia alieileza ugumu ulikuwa ni kumfahamisha mkewe anachotaka kufanya, pia ameeleza atafanya operesheni ya badiliko la kijinsia, na kuwa hafanyi hayo ili awe na mahusiano ya kimapenzi na mtu yeyote bali ndivyo alivyokuwa akijisikia awe kwa miaka yote. 
Maloney anavyoonekana sasa akiwa kama Kellie. 
Ajuza Kellie akiweka pozi 
***
Picha na habari kwa hisani ya mailonline na sunday mirror [Tafsiri: Mkala Matukio]

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top