(Kushoto) Wachezaji wa TMA (Tabora Music Association) waliochuana na Radio presenters waliosindikizwa na music producers, video directors n.k
Radio presenter's team
Music Artist's team
Radio presenter's team
Music Artist's team
Wachezaji wakisalimiana kabla ya kabumbu kuanza.
Reserves
Kazi tuu mchezo mmoja
Moshi Omary Nkonkota, M/kiki CCM Tabora, akihudhuria ka mgeni Rasmi wa mchezo wa kirafiki kati ya kikundi cha wasanii (TMA-Tabora Music Association) na wanahabari mkoani Tabora.
Shindano hilo muhimu liliandaliwa na Ndg. Mwakasaka (aliyevaa miwani) ambaye ni mlezi wa chama hicho cha TMA
Meza kuu ikiwa jukwaani.
Murad, Meneja wa uwanja wa A'Hassan Mwinyi, Tabora.
Lango la wasinii likichinguliwa kwa hatari na timu ya watangazaji wa redio za mkoani hapo
Acha kabisaaaaaa...
Wasanii baadhi wakiangalia mpira ndani ya uwanja wa Ally Hassan Mwinyi
Ally Ngamba (Mtangazaji) Pumzi ikamshinda, hapana chezea kukosa pumzi wewe. Ilikuwa hapo katika uwanja wa Ally Hassan Mwinyi
Baadhi ya wasanii na wadau wakionesha shavu za nguvu katika uwanja wa Ally Hassan Mwinyi.
[Picha na: Aloyson + Kapston Productio]
*****
SHUKRANI ZA DHATI KWA:
Radios- V.O.T FM - 89.0, CG FM - 89.5
Bloggers- aloyson.com, jestina-george.com na wengine wengi
Pia kwa wote walifanikisha shindano hilo kukamilika kwa ufasaha.