
![]() |
| Wiz na Amber wakibusiana; Yawezekana kaya-miss sana haya. Lakini licha ya hayo yote Wiz hajajibu lolote juu ya hili. |
Mchongo ulikuwa hivi.... Amber Rose alionekana kuyapenda maisha ya peke yake, lakini ilitoke hivi majuzi alipost sicha ya mvuto wa tabasamu lake kali instagram na kuandika "Miami Bound*" Picha hiyo hapo chini.....
Kama hajaeleweka hivi, sasa story ikaja pale moja ya mfuasi wake alipoipost tena picha ile na baadhi ya maoni ya mashabiki walipendekeza arudiane na Wiz na hicho chini ndicho alichojibu Amber







