
Baada ya kuwa wametengana kwa miezi kadhaa, mtangazaji huyo wa show ya ‘America’s Got Talent’, amempa talaka mke wake huyo aliyedumu naye kwa miaka sita.
Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, Cannon ndiye aliyekuwa wa kwanza kuwasilisha nyaraka za talaka Dec 12. Wawili hao walifunga ndoa April 2008 kwenye visiwa vya Bahamas na kujaliwa watoto mapacha, Moroccan na Monroe.

Carey kwa sasa amehamishia makazi yake jijini Las Vegas.
![]() |
Nick Cannon |