Featured
Loading...

Cristiano Ronaldo Aachana na Mpenzi Wake Irina Shayk

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE


Mchezaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ameachana na mpenzi wake raia wa Urusi, Irina Shayk.

Wawili hao wamedumu kwa kipindi cha miaka mitano.

“Tunathibitisha kuwa Irina Shayk amevunja uhusiano wake na Cristiano Ronaldo,” mwakilishi wake aliiambia Page Six jana.
Tetesi za kuachana kwa mastaa hao zilianza kuvuma baada ya Shayk kutoonekana akiwa na Ronaldo kwenye tuzo FIFA Ballon d’Or jijini Zurich Jumatatu.

Badala yake mchezaji huyo alisindikizwa na mama yake, Maria Dolores dos Santos Aveiro, na mwanae Cristiano Jr aliyezaa na mwanamke asiyejulikana. Credit: Bongo5

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top