Featured
Loading...

JK APANGUA BARAZA LA MAWAZIRI; Muhongo, Tibaijuka Wajiuzulu

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE



Mabadiliko ya Mawaziri

Mawaziri wawili wamejiuzulu

i) Ardhi-Tibaijuka

ii)Nishati na madini-Sospeter Muhongo

Walio teuliwa

1. George Simbachawene- Waziri Nishati

2.Mary Nagu-Waziri wa Nchi mawasiliano na Uratibu

3.Christopher Chiza-Waziri uwezeshaji na Uwekezaji

4.Halson Mwakyembe-Ushirikiano wa afrika mashariki

5.Lukuvi-Ardhi Nyumba na Makazi

6.Steven Wasira-Kilimo chakula na Ushirika

7.Samwel Sitta -Wizara ya Uchukuzi

8.Jenista Muhagama-Sera na uratibu wa Bunge

KWA HISANI YA MTANDAO WA JAMII FORUM

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top