Featured
Loading...

Wasanii wa Bongo Movie Wanajiuza; Ukweli Huu Hapa

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE


Stori: Mayasa Mariwata
STAA wa Bongo Movies, Halima Yahya ‘Davina’ amekiri kuwa ndani ya tasnia yao, kuna wasanii wengi wa kike wanajiuza kwa maslahi yao binafsi.

Staa wa Bongo Movies, Halima Yahya ‘Davina’.
Akipiga stori na paparazi wetu, Davina alisema wasanii wanaofanya hivyo ni wale wasio na nia ya dhati, wapo kwenye tasnia kwa ajili ya kuuza sura na kujinadi kwa mapedeshee.
“Tatizo ni kwamba wasanii tumekutana kila mmoja ana tabia zake na ni ngumu kujua undani wa mtu kwa kumtazama mara moja, sasa utakuta mtu yupo radhi aombe kucheza filamu hata bure kwa kuamini kwamba ataonwa na wanaume wenye pesa zao, na kweli inakuwa hivyo kwani wanapowatokea hawakatai, kimsingi wanatuchafua sana sisi ambao tupo serious na kazi,” alisema Davina.

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top