Muimbaji wa Nigeria, Joy Odiete maarufu kwa jina la J’odie aliyehit na wimbo wake ‘Kuchi Kuchi’, ameweka wazi kuwa yeye bado hajachakachuliwa ni bikra, na yupo tayari kusubiri hadi pale atakaposema ‘I do’ kwa yule atakayekuwa mume wake.

J’odie ambaye amekulia kwenye familia ya dini amesema hayo katika mahojiano aliyofanyiwa hivi karibuni na Saturday Sun.
Alipoulizwa swali la mapenzi kabla ya ndoa kwa upande wake alikuwa na mengi ya kusema kuhusu kubaki na bikra yake:
“Suala la ngono na ubikira ni la mtu binafsi … Sasa – cha muhimu, kuna watu wengi huko nje ambao hawajui wao ni nani au wapi wanakwenda. Sahau hype ya vyombo vya habari na paparazzi: kama watu wakiyafungua kiukweli mawazo yao ya ndani, hakuna mtu anataka kukaa na mtu ambaye ni ‘keki ya taifa,” alisema.

Aliongeza kuwa katika maisha halisi watu wanaheshimu wale ambao wanaweza kuji control.
“Forget all that ‘new age’ or ‘modern’ talk on sex and virginity. It may look ‘cool’ to be a sexually loose person on Television or magazines, but in real life, people actually respect those who have self control. If the whole world says virginity is archaic, would you want your daughter/son to ‘go with the flow?’… “

Credit: The net.ng