
Baada ya kutoa official cover ya album ya ushirikiano wa Chris Brown na rapper Tyga, mastaa hao wametoa orodha ya nyimbo zitakazokuwepo kwenye album hiyo pamoja na wasanii waliowashirikisha.
Miongoni mwa nyimbo kumi na sita zitakazokuwemo kwenye album hiyo, rapper 50 Cent na T.I ni mastaa walioshirikishwa kwenye nyimbo mbili.
Fif ameshirikishwa kwenye wimbo uitwao “I Bet” huku Tip ameshirikishwa kwenye “Bunkin'”. Wengine walioshirikishwa ni Ty Dolla $ign, Wale, Pusha T na Boosie Badazz.
“Fan of a Fan” Tracklist:
1. “Westside”
2. “Nothin’ Like Me” feat. Ty Dolla $ign
3. “Ayo”
4. “Girl You Loud”
5. “Remember Me”
6. “I Bet” feat. 50 Cent
7. “D.G.I.F.U.” feat. Pusha T
8. “Better”
9. “Lights Out” feat. Fat Trel
10. “Real One” feat. Boosie Badazz
11. “B****es N Marijuana”
12. “She Goin’ Up”
13. “Straight Up”
14. “Bunkin'” feat. J305 & T.I.
15. “It’s Yo S**t” feat. Wale
16. “Banjo”






