Featured
Loading...

Hii Ndio Tunaita Tumia Pesa Ikuzoee...

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE


Hi ni gari nyingine aina ya Lamborghini anayomiliki mfanyabiashara Davis Mosha wa Bongo.
Kama ndo machine aliyo nunua safari hii basi katisha aisee maana hii ni one of the most expensive and luxury cars around na hela yake ni ndefu sana. It's confirmed gari kanunua na soon mtaiona mitaa ya kati. Davis yaelekea ni mpenzi sana wa magari mazuri na of course uwezo wa kuyanunua anao cause he works so damn hard. Hongera sana Davis can't wait to see this new toy in Bongo. Hii ndo inaitwa "Tumia Pesa Ikuzoeee"

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top