Featured
Loading...

Siri ya Mtungi Sehemu ya 17 Msimu 02 [Season 02 Episode 17-With English Subtitles]

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE


Cheche anatakiwa kufunga kazi yake pale mtu asie julikana, mwanamke wa ajabu Shalimar, anakuja na kudai kua yeye ndio mridhi na mmiliki wa studio ya picha ya Mtungi. Utaadhani kama Cheche hana matatizo ya kutosha kazini kwake, Cheusi anamaswali mengi kuhusu mahusiano yake ya nje. Kwenye makazi ya Mzee Kizito na wake wake wote, fungate la Nusura linaharibiwa baada ya Farida kugundua ujauzito wa Nusura. Amegungundua kua ujauzito wa Nusura waweza kua sio wa Mzee Kizito. Nusura hawezi fanya maamuzi na mumewe, hivyo anakimbilia kwa rafiki yake wa siku nyingi Julietta kwa ajili ya msaada lakini kuta zinazidi kua ndefu mbele yake.


Nimezipiga picha za matukio mbalimbali ya mchezo huu.



Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top