Featured
Loading...

SITTI MTEMVU ATEMBELEA KITUO CHA WALEMAVU WA NGOZI DAR NA HOSPITALI YA MKOA ILALA.

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE



Mwenyekiti wa Sitti Tanzania Faundation, Sitti Mtemv, akivaa moja ya kofia alizo kabidhi kwa msaada katika kituo cha watu wenye albinizim (UNDER THE SAME SUN) (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
Mwenyekiti wa Sitti Tanzania Faundation, Sitti Mtemvu (kushoto) , akimkumbatia kwa furaha Mariam Staford , mara alipo tembelea kituo hicho, ambapo Mariam alikatwa mikono yake yote miwili akitokea kijiji cha Ntobeye Wilayani Ngara Kagera.

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Under The Sun Tanzania Vicky Ntetema (kulia) , akifafanua jambo wakati Mwenyekiti huyo alipo tembelea kituo hicho 
Afisa utetezi Kondo Seif (wakwanza kushoto) akitolea malezo ukosefu wa rangi asili mwilini ambayo huathiri rangi ya mwili kwa maana ya ngozi ,macho na nywele na kukosekana kwa melani mwilini, miongoni mwa athari zake ni wepesi wa kuungua na Jua unapotembea juani na ufanyapo kazi juani.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Under The Sun Tanzania Vicky Ntetema (kulia) akimuonyesha Mwenyekiti wa Sitti Tanzania Faundation, Sitti Mtemvu (kushoto) Picha ya mtoto alie tekwa akiwa mgongoni mwa mama yake wapili .kushoto ni Mama mzazi wa Sitti.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Under The Sun Tanzania Vicky Ntetema (kulia) akimuonyesha Mwenyekiti wa Sitti Tanzania Faundation, Sitti Mtemvu (kushoto) Picha ya Wazazi walio zaa mtoto mwenye albinizim ambao kwa pamoja wameamua kumlinda na kumlea kwa pamoja . kushoto ni Mama wa Sitti.
Mwenyekiti wa Sitti Tanzania Faundation, Sitti Mtemvuakimvisha kofia Mariam Staford. 
Mwenyekiti wa Sitti Tanzania Faundation, Sitti Mtemvu, akiangalia picha .
Mwenyekiti wa Sitti Tanzania Faundation, Sitti Mtemvu akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Under The Sun Tanzania Vicky Ntetema (kulia) akimkabidhi Kofia na kitita cha Sh. Laki 3 

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top