![]() |
Malia Obama, akiwa amevaa T-shirt ya ProEra (Kundi la Wasanii wa HipHop-New York) |
Uchunguzi wa kina unafanywa kufuatia kusambaa kwa picha hiyo katika mtandao maarufu wa facebook huku ikiwa Michelle Obama mama wa Malia kukataza katu matumizi ya mitandao ya kijamii na kuwawekea masharti makali.
Inasemekana picha hiyo ilisambaa katika mara baada tu ya Joey Badas (Rapa wa Kundi la ProEra) kuipata kupitia kwa rafiki wanayeshabihiana (Mutual) na rafiki wa Malia Obama.
Ni hakika Michelle Obama a.k.a Fist Lady haamini kabisa linapokuja suala la mitandao ya kijamii kwa vijana.
The White House is investigating how Malia Obama's photo went public http://t.co/K0hCjwaWlL pic.twitter.com/uD3ocq0AYG
— The Root (@TheRoot) January 9, 2015