Hali ya dunia kwa sasa
imekuwa si nzuri sana, ulimwengu unakoelekea sasa si kuzuri. Kwa anayechunguza
zaidi mambo ya ulimwengu wa sasa unaweza omba Mungu akuondoe katika ulimwengu
huu. Leo tuangazie siala sugu la mapenzi hasa ya kufanya mapenzi kinyume na
maumbile.

Fuatilia baadhi ya madhara ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile hapa (Ni mbaya sana usijaribu)
1. Mwanamke anayefanyiwa
mchezo huu hupata matatizo makubwa wakati wa kujifungua ikiwa ni pamoja na kutokwa
na haja kubwa mfululizo wakati akijaribu kumsukuma mtoto.
Tukio hili humsababishia
aibu kubwa mwanamke, kiasi cha kumshushia hadhi yake mbele ya jamii.
2. Pia anaweza kumuua mtoto
kwa vile kila akimsukuma atoke, pumzi hukata kutokana na misuli inayofahamika
kwa jina la ‘sphincter’ kulegea na kusababisha ambane mtoto.
3. Umri unaposonga, haja
kubwa hutoka bila kizuizi kutokana na misuli ya sphincter inayobana njia ya
haja kubwa kulegea.
4. Inaweza kusababisha
saratani ya eneo hilo ‘cancer of colon’.
5. Ugonjwa wa UTI, yaani
uambukizi kwa njia ya mkojo, huwa sugu, maana akitokea mwanaume alifanya kitendo
hicho kisha akafanya ngono kama kawaida, bakteria wanaoishi sehemu hiyo
wanaingia na kuwa na madhara makubwa.
6. Hasara yake kubwa
mwanaume anayekufanyia mchezo huwa hawezi kukuoa, pia ni rahisi kukutangaza kwa
jamaa zake na kuonekana kituko mbele za watu, kama umeolewa heshima yako hupungua
ndani ya ndoa.
Mwisho kabisa baada ya
kuharibiwa ni kuwa na msongo wa mawazo na kuilaumu nafsi yako. Nina imani umeona
baadhi ya madhara hatari kwa mwanamke kuingiliwa kinyume cha maumbile.
Mchezo huo ni mbaya, najua aliyeuanza
muda mrefu utamsumbua kuuacha kutokana na hali anayokutana nayo. Lakini
ukiivumilia kwa muda lazima itakata na kurudi kwenye hali yako ya zamani.