Featured
Loading...

Wawili Hawa Wavishana Pete ya Uchumba; Wewe Wasubiri Nini?


















Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

MADHARA YA NGONO KINYUME NA MAUMBILE

Hali ya dunia kwa sasa imekuwa si nzuri sana, ulimwengu unakoelekea sasa si kuzuri. Kwa anayechunguza zaidi mambo ya ulimwengu wa sasa unaweza omba Mungu akuondoe katika ulimwengu huu. Leo tuangazie siala sugu la mapenzi hasa ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile.
Fuatilia baadhi ya madhara ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile hapa (Ni mbaya sana usijaribu)
1. Mwanamke anayefanyiwa mchezo huu hupata matatizo makubwa wakati wa kujifungua ikiwa ni pamoja na kutokwa na haja kubwa mfululizo wakati akijaribu kumsukuma mtoto.
Tukio hili humsababishia aibu kubwa mwanamke, kiasi cha kumshushia hadhi yake mbele ya jamii.
2. Pia anaweza kumuua mtoto kwa vile kila akimsukuma atoke, pumzi hukata kutokana na misuli inayofahamika kwa jina la ‘sphincter’ kulegea na kusababisha ambane mtoto.

3. Umri unaposonga, haja kubwa hutoka bila kizuizi kutokana na misuli ya sphincter inayobana njia ya haja kubwa kulegea.

4. Inaweza kusababisha saratani ya eneo hilo ‘cancer of colon’.

5. Ugonjwa wa UTI, yaani uambukizi kwa njia ya mkojo, huwa sugu, maana akitokea mwanaume alifanya kitendo hicho kisha akafanya ngono kama kawaida, bakteria wanaoishi sehemu hiyo wanaingia na kuwa na madhara makubwa.

6. Hasara yake kubwa mwanaume anayekufanyia mchezo huwa hawezi kukuoa, pia ni rahisi kukutangaza kwa jamaa zake na kuonekana kituko mbele za watu, kama umeolewa heshima yako hupungua ndani ya ndoa.
Mwisho kabisa baada ya kuharibiwa ni kuwa na msongo wa mawazo na kuilaumu nafsi yako. Nina imani umeona baadhi ya madhara hatari kwa mwanamke kuingiliwa kinyume cha maumbile.


Mchezo huo ni mbaya, najua aliyeuanza muda mrefu utamsumbua kuuacha kutokana na hali anayokutana nayo. Lakini ukiivumilia kwa muda lazima itakata na kurudi kwenye hali yako ya zamani.
Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Sababu Za Wanaume Warefu Kupendwa Zaidi ya Wengine

Bila shaka umeshawahi kusikia minong’ono kuwa wanaume warefu wana mvuto mkubwa kwa wanawake tofauti na wenzao wafupi. Bila shaka umewahi kuisikia hii kwa baadhi ya wanaume wakikiri kuwa wanaume warefu wanakubalika kirahisi kwa wanawake.

Adonis O'Holi (Model)

Umewahi kubaini hilo?...Kama hukubaini basi ndio ukweli wenyewe kwamba kwa asilimia kubwa wanawake huwapenda zaidi wanaume warefu.


Bila shaka umeshawahi kusikia minong’ono kuwa wanaume warefu wana mvuto mkubwa kwa wanawake tofauti na wenzao wafupi. Bila shaka umewahi kuisikia hii kwa baadhi ya wanaume wakikiri kuwa wanaume warefu wanakubalika kirahisi kwa wanawake.

Nimelazimika kufanya utafiti wa kisomi ili kuona kama kuna ukweli wowote au ni maneno tu ya mitaani; aidha nikajaribu upande wa pili kwa maana ya kuzungumza na wanawake ili nisikie wenyewe wanachosema, wengi wamekiri kuwa wanaume warefu wana mvuto sana.

Baadhi yao wanadiriki hata kusema kwamba huwa wanatamani kuwatongoza, shida ni mila na desturi za kwetu haziruhusu mwanamke kumtongoza mwanamume, mwingine akaniambia kuwa wanaume warefu wengi wao wanajiamini zaidi kuliko wafupi.

Pia watu warefu wanajikubali sana, wapo wengi tu wanaokubali kuwa wanaume warefu wanakuwa ni wenye mvuto...je, wewe una maoni gani?

Mtafiti mkongwe katika masuala ya mapenzi duniani, Fisher, Helen katika kitabu chake alichokipa jina Why We Love yaani kwa nini tunapenda, kilichochapishwa Marekani (ISBN 0-8050-6913-5), anasema kuna ukweli juu ya jambo hili.

Anasema imani ya wanawake wengi ni kwamba wanaume warefu wana mwonekano mzuri. Pia kina dada wanajiona wako salama zaidi wanapoongozana na mtu mrefu tofauti wakiongozana na mtu mfupi.

Ingawa wengine wanahusisha urefu wa mwanaume na urefu na viungo...lakini kuwa na fimbo kubwa na mwingine kuwa na fimbo ndogo, haina maana kwamba mwenye fimbo kubwa atampiga mwanafunzi akaumiza zaidi kuliko mwenye ndogo...hapa ni suala la ujuzi.

Kufikiri kwamba wanaume warefu ni bora kwa sababu ya urefu wao, huenda ni imani isiyo sahihi sana, ingawa kwa kiasi ina ukweli hasa katika kimo cha mtu...mara nyingi urefu wa vidole vya mwanaume vinaweza kukupa mwelekeo wa urefu wa kwingine.

Msomi Simpson, John, ed. (1989 toleo la pili), kitabu maalumu kuhusu umbo la mwanaume, kilichochapishwa na Chuo Kikuu cha Oxford University anasema kwa kiasi fulani huwezi ukawa na vidole vifupi, halafu ukatudanganya kuwa kwingine kutakuwa kurefu, ni ngumu!

Aidha Ponchietti R, Mondaini N, BonafË M, Di Loro F, Biscioni S, Masieri L (2001) katika kitabu chao kiitwacho “Penile length and circumference’ kinachozungumzia maumbile ya wanaume na utahiri, kilichochapishwa Italia, wanasema udogo au ukubwa wa chochote hauna maana kama ndio kitakuwa kizuri au kibaya; kuwa na sura mbaya haina maana una roho mbaya wala kuwa na sura nzuri haina maana una tabia nzuri.

Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume walio warefu...achilia mbali baadhi ya wanawake kupenda kwa sababu ya fedha, kisaikolojia wanajisikia fahari kuwa na mwanaume mrefu.
Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Namna ya Kumtamanisha Mmeo Kufanya Mapenzi (Mbinu za Kum-Activate Mwanaume)

Katika familia au mahusiano mengi ya Kiafrika yamekuwa yakikumbwa na changamoto kubwa za gomvi miongoni mwao hasa michepuko isiyo ya lazima pindi na hasa mapenzi yanapokuwa siyo ya kujitosheleza katika mahusiano fulani.

Leo nitatumia fursa hii kuandika machache yatakayomsaidia mwanamke kumfanya mmewe awe active mara nyingi, kumfanya mmeo atamani kufanya mapenzi nawe.

Inakadiriwa kuwa wanawake ndiyo wanaopenda sana kufanya mapenzi kila muda au kila siku kitu ambacho ni tofauti kwa wanaume; hii ni kwa sababu wanaume wengi huwa bize kwa utafutaji wa kipato cha kulisha mkewe na familia, pia kama kuna ugomvi unaoendelea baina yenu, kukua kwa video za ngono mitandaoni na picha ziendanazo na mapenzi, hisia mbaya tu zozote zinamfanya mwanaume asiwe na mshawasho na mkewe, au kama anahisi humheshi, au ulishamuoneshea kuwa alikupata kwa bahati mbaya tuu hii pia itamuumiza na kumfanya akose hamu ya kimapenzi. Lakini kama hakuna tatizo dhidi ya hayo basi litakuwa ni tatizo jingine la kitaalam.

Njia muhimu za kumfanya mwanaume avutiwe kufanya mapenzi mara nyingi ni kama zifuatazo; KUMBUKA: Kama si ubize wa kazi na matatizo madogomadogo ndiyo yanamnyima hamu (anapata hisia pale tu akiangalia mwanamke mwingine tofauti na wewe, au picha za wanawake wengine) basi hizi si njia sahihi… 

NJIA ZA KUFUATA KUMVUTIA MUMEO KUFANYA MAPENZI MARA NYINGI/KILA SIKU.
  • Mfanye Akufikirie Wewe

  • Ongea Naye Kimapenzi/Kimahaba

  • Lala naye Uchi wa mnyama

  • Mguse guse kichokozi

  • Muoneshe show yako binafsi

  • Jirekodi na kamera (Picha au video)

  • Jiongeze kama kinyonga (badilika) 

  • Usiulize we fanya tu. 

  • Ondokana na Hofu 

  • Mbambatishe abambike 

  • Muombe msamaha/ tubu 

  • Jianike uwazi wako kwake 

  • Mfahamishe wewe ni mzuri 

Hizi ni baadhi ya vipengele vitakavyokuwa vikielezewa kwa kina ili kukunufaisha wewe msomaji wetu. Nitaanza kuelezea mada moja moja kwani zimechimbwa kiundani zaidi. Msomaji wetu kama unaguswa na mada hii tuandikie maoni ni kipengele kipi nianze kukielezea kwa manufaa ya ndoa au mapenzi yako. 

Usisite kutuandikia maoni ni kipi kimesahaulika hapo. Inaendelea HAPA
Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Wanaume Mpo Hapo...? Someni Hii....!

NAMSHUKURU Mungu kwa kunikutanisha nanyi marafiki Jumamosi ya leo. Mungu ni mwema sana ndiyo maana anazidi kutubariki kila kukicha. Tunakutana tena katika darasa letu huru, tunafundishana masuala yahusuyo uhusiano wa mapenzi. 

Leo nimependa tujadili mada hii ambayo naamini inagusa watu wengi. Wengi wetu tunakubaliana kwamba tumekutana na jambo hili kwa nyakati tofauti.Unampigia simu mpenzi wako hapokei, meseji hajibu na wala hana habari na ujumbe wako lakini ukikutana naye na kumuuliza kama anakupenda anakwambia anakupenda. 

Tatizo hili linawapata watu wote lakini mara nyingi zaidi limekuwa likiwatesa wanawake. Wanaume wengi wanapoingia kwenye uhusiano wanakuwa mafundi sana wa kutuma meseji.Tena meseji zile zenye kumfanya mwanamke ajione mwenye thamani ya hali ya juu. 

Wanakuwa mahodari wa kuandika maneno matamu, wanapiga simu mara kwa mara. Hicho ndicho kipindi huwa wanapiga simu kuuliza kama wapenzi wao wamekula au wamelala au kuuliza ‘unafanya nini sa hivi.’ Mwanamke anajaliwa kiasi cha kuona kama ulimwengu wote ni wake. 

Hapo wanawarubuni wanawake kuficha makucha yao. Mwanamke huona amepata. Kama ni mahitaji muhimu atayatoa, anahakikisha mwanamke hapati shida ya aina yoyote. Wakati utamu ukiwa unakolea, ghafla tu wanaanza kubadilika. Ukituma meseji hajibu, ukipiga simu hapokei. 

Ndugu zangu hapo ndipo kwenye msingi wa mada yangu ya leo. Kitendo cha kutopokea simu, kutokubali kukuona au kutaka kumuona hadi umlazimishe ni ishara kwamba kuna tatizo. Mbaya zaidi bora kama angekuwa hapokei kwa muda fulani halafu baadaye apokee, hapana. Anakunyamazia hata mwezi mzima. 

Yeye anaamua tu kutopokea kwa wiki, miezi na hata mwaka mzima. Tena bora basi angekwambia kwamba sikuhitaji, anakunyamazia kimya na hata ukibahatika kukutana naye anakwambia; ‘nakupenda sema tu kazi zinabana ndiyo maana unaona kimya, usijali lakini mpenzi wangu bado nakupenda.’ 

Marafiki tutazame mfano hai kutoka kwa msomaji wangu mmoja. 

Aliniambia hivi: 

“Anko naomba ushauri wako. Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 21, nina mchumba wangu ambaye tulikuwa na mipango mizuri ya kutambulishana kwa wazazi sambamba na kufikia hatua ya ndoa lakini nimeshangaa ghafla amebadilika. 

“Siku hizi kila nikimpigia simu hapokei, nikimtumia meseji hajibu na hata nikimtumia marafiki zake anawaambia waniambie nisiwe na wasiwasi eti yupo bize tu na kazi lakini ananipenda. Ninapata shaka kwa sababu mwanzoni hakuwa hivi, kwa miezi mitano sasa amekuwa kimya tu.”

Mfano huo unatufundisha nini? Mada yangu ya leo. Mpenzi wa msomaji huyo anakuwa amebadilika kutokana na sababu zake anazozijua. Anamsababishia mwenzake mawazo ya hali ya juu. 

Hamuelezi ukweli juu ya mabadiliko yake anajifanya kama penzi lipo sawa kumbe halipo sawa. 

Ndugu zangu, kwa mwanaume wa aina hiyo, mwanamke unapaswa kujiongeza. Unapaswa kupima uwiano wa muda unaopoteza na majibu unayoyapata kutoka kwa mwenzako. 

Kama majibu ni ‘usijali tuko pamoja’ halafu kiuhalisia hampo pamoja kwa zaidi ya miezi mitano au sita ni tatizo. 

Penzi la aina hiyo huwa ni maumivu kwa upande mmoja. 

Mwanamke anateseka moyoni wakati mwenzake haumii wala hajui maumivu anayoyapata mpenzi wake. Utafiti usio rasmi ambao nimeufanya, mara nyingi wanaume wa aina hiyo wanakuwa tayari wameshaanzisha uhusiano na mtu mwingine. 

Wanashindwa kusema ukweli tu. Wanakuzungushazungusha pasipo kuwa na sababu za msingi, hapo mwanamke unapaswa kujiongeza. Msake mwenzako kinaga ubaga, mweke chini uzungumze naye na ujue msimamo wake. Kama akikiri amebadilika kwa bahati mbaya, mpe muda lakini ukiona ni yaleyale basi ni bora kuachana naye na usubiri umpate ambaye atakuwa na mapenzi ya dhati.
Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Wakamatwa na Polisi Kwa Kushiriki Mapenzi ya Jinsia Moja 'Usagaji' Kisa Hichi Hapa

Lucy na Maua Ambao wote ni Wasichana Wanao sagana

DUNIA imekwisha! Wasichana wawili warembo, Maua Sadick (24), mkazi wa Stakishari, Ukonga wilayani Ilala na Lucy Fred (23), mkazi wa Karakata jijini Dar es Salaam, wanashikiliwa katika Kituo cha Polisi Stakishari, Ukonga, Dar kwa kesi yenye jalada STK/RB/463/2015 wakidaiwa kufanya mapenzi ya jinsia moja.

Warembo hao walikamatwa Januari 12, mwaka huu saa sita mchana, nyumbani kwa Maua wakidaiwa kufanya ngono kinyume cha sheria ya kujamiiana ambapo watu wa jinsia moja ni makosa kukutana kimwili.

NDUGU, MAJIRANI WAKERWA 
Kwa mujibu wa habari za kipolisi, kukamatwa kwa Maua kulitokana na taarifa za baadhi ya ndugu na majirani zilizopelekwa polisi kwamba, wasichana hao wanapokuwa kwenye tendo la ndoa wamekuwa wakipiga kelele za udhalilishaji kwa familia zao.

WALISHAONYWA, HAWAKUSIKIA
Vyanzo makini kutoka jirani na makazi ya Maua vinadai kuwa, kutokana na hali hiyo, baadhi ya watu walijitolea kuwaonya wasichana hao kuwa na staha wawapo kwenye faragha yao lakini pia wao ni wanawake haiwezekani wacheze mchezo huo wenyewe kwa wenyewe lakini hawakutaka kusikia.

MAJIRANI WAFUNGULIA REDIO SAUTI YA JUU
“Ilifika mahali wakiingia chumbani kuanza mambo yao sisi majirani tunazidisha sauti za redio ili watoto wasisikie lakini na wao sauti zao zinakuwa juu kushinda za redio,” alisema jirani mmoja akiomba jina lake lifichwe ili kukwepa uhasama.

Alisema kutokana na hali hiyo waliamua kufikisha habari hizo polisi kwani ni kinyume cha sheria watu wa jinsia mmoja kukutana kimapenzi.


HISTORIA YA LUCY
Wakizidi kuzungumza na Uwazi, majirani hao walisema, Lucy ambaye ndiye anaitwa mke na Maua amekuwa akitoka nyumbani kwa wazazi wake Karakata kwa lengo la kumfuata Maua.

SIKU YA TUKIO
Ilisemekana kuwa, siku ya tukio, majirani walipoanza kusikia ‘zile sauti zao’, waliwapa polisi namba ya simu ya mtu wa jirani na Maua kwa lengo la kusaidia kufika nyumbani hapo.

“Polisi walipofika waligonga mlango kwa muda mrefu bila kufunguliwa na kelele za mahaba zilizidi kusikika. Baadaye, nadhani wakati wanapumzika sasa, Maua alifungua mlango mkubwa na kukutana na macho ya polisi, wakambana na kumtaka waende wote alipo Lucy, wakaenda chumbani na kumkuta.
“Pia polisi walikuta kidude ambacho huwashwa kwa betri kilichodaiwa pia hutumika wakati wa tendo,” kilisema chanzo.

HISTORIA YA MAUA
Maua ni binti ambaye ni yatima, amekuwa akiishi mwenyewe kwenye nyumba hiyo kubwa ya familia hivyo kumwita Lucy mara kwa mara kwa madai ya kufanya ufuska huo kwa vile wana uhuru.
Inasemekana kuwa, Maua siku zote amekuwa akivaa mavazi ya kiume licha ya kwamba, ni mwanamke kamili.

POLISI WASHANGAA
Taarifa kutoka vyanzo vya ndani ya jeshi la polisi zinadai kwamba, hata wakiwa mahabusu ya kituo hicho, wawili hao wamekuwa wakioneshana mapenzi baina yao kitendo kilichowashangaza mahabusu wengine na polisi pia.

Uwazi lilifika nyumbani kwa Maua na kukutana na mdogo wake aitwaye Aziz ambaye alikiri kukamatwa kwa Maua na kwamba tangu akamatwe hajarudi na wala hajui kinachoendelea huku akisema asingependa kuzungumzia suala hilo kwa sababu ya kutupiwa lawama na wanandugu kwamba yeye ndiye aliyepeleka taarifa polisi.
Chanzo: GPL
Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Kwanini Ulambe Hovyo Sehemu Za Siri Za Mpenzi Wako?

NIMEIKUTA SEHEMU IKIWA NA UJUMBE MZURI UNAOWASTAHILI WENGI WANAOBAMBIA MAMBO YA KIKUKBWA.

Leo nataka nieleze mambo ya msingi… kama utahisi haya nitakayo yaeleza yamekukera jifanye kama hujaona na uendelee namabo yako sitaki comment za matusi!!!!

Kwanza kwa nini wasichana wengi mmekuwa matapeli wa mapenzi? Utakuta msichana hajampenda jamaa lakini anataka pesa tu na anapretend kama amekufa ameoza hii inajidhihirisha pale mnapokuwa kunako sita kwa sita utaona msichana anapiga kelele za hatari mnaweza kuwa mpo Mwenge lakini watu wa mbagala wanazisikia kelele hizo…. 

Kwa mwanaume asiejua mambo anaweza kuhisi ndo amemtoa bikira mdada huyo kumbe wapi ni wizi mtupu….mtoto anatengeneza tu mazingira ya kukutoa pesa… mkimaliza ukimpa elfu 5 ya nauli anakwambia beib hela gani hii hivi hujaona jinsi ulivoniumiza jamani nipe hata elfu 30 basi…. Kweli mapenzi kamari.

Nanyi wanaume waogopeni sana wasichana wenye tabia kama hizo maana hawana mapenzi ila wapo kimaslahi zaidi!!!! Na pia watoto wa kiume epukeni kujitafutia magonjwa makubwa kwa kuwanyonya hawa wasichana sehemu zao za siri

…. Usiige yale unayoyaona kwenye mikanda ya ngono ukahisi ni jambo zuri, kumbuka wale wanaoigiza mikanda ya xxx wapo kibiashara zaidi na sio kimapenzi……
Kwanza hebu tafakari mambo matatu yafuatayo…..

1. Wanawake wanaenda breed kila mwezi…. Ila damu huwa ni chafu sana ndio maana hairuhusiwi kulala nae wewe unapata wapi ujasiri wa kumnyonya!!!!
2. Wanawake wengi wanatumia vipodozi na madawa mengi yenye athari wewe unajiweka kundi gani kwa kuyalamba na kuyameza hivi unayapenda kweli maisha yako na wanaokutegemea
3. Inawezekana mwanamke huyo ndo mara yako ya kwanza kukutana nae hujui aliwahi kuwa na nani huko nyuma wewe unakurupuka tuu na kutaka kuonesha ufundi wako….. huenda alikuwa na jamaa mwenye magonjwa ya ngozi kama ukurutu, malengelenge, fangasi na mengineyo….fikiria mara tatu kabla ya kuyaweka rehani maisha yako kwa mambo ya kijinga!!!!

NJIA MBADALA NA NZURI NA PENZI LITAKUWA TAMU

Tumia njia zingine kama kupapasana, kutekenyana sehemu mbalimbali kwa kucha na vidole … Na pale muwapo ndani ya sita kwa sita msisitize mpenzi wako kukata viuno taratibu ila kwa ufundi, mtekenye masikio yake taratibu kwa kucha zako….. mtazame kimahaba, mtekenye na mpapase chini ya kitovu hadi kwenye nywele za ikulu yake…. Usisugue haraka haraka kama unakimbizwa fanya taratibu ila kwa ufundi……. Kwa hujui ufundi upoje usione aibu nitumie sms inbox hapo na nitakusaidia……
Je, unapenda kesho niendelee na madhara ya kiss na kunyonya uume?
Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Hakuna Mwanaume Lijali Akakosa MICHEPUKO


Kwa wale nitakaowakwaza naomba mniwie radhi lkn kiukweli hata mimi hainipendezi kuyasema haya ila ni vema tu niwaeleze dada zangu kwasababu ukweli unaoumiza ni bora kuliko uongo unaofurahisha.

Hakuna mwanaume lijali anayeweza kuwa na mwanamke mmoja, eidha awe ameoa au hata kama hajaoa. Hakuna mwanaume wa aina hiyo kwa karne hii, usijidanganye kukimbilia kwenye ndoa ukiamini kwamba baada ya kuolewa utajimilikisha huyo mwanaume aliyekuoa, never!

"Mchele mmoja mapishi mbalimbali", utakuta ww mwanamke kila siku ukikutana na jamaa yako faragha lzm yeye ndio aombe kamchezo, wkt kuna sehemu akienda mwanamke mwenzako ndio anaandaa mazingira ya kuomba kamchezo kutoka kwa jamaa, now u see the difference?

Au mara zote mkitoka lazima wewe ndio uwe ume suggest mtoke tena yeye ndio ana pay bills, wkt kuna mwanamke mwenzio somewhere ingawa sio mara zote, ila mara chache chache yeye ndio anamuomba jamaa watoke na ndio ana pay bills, umeona?

Humshauri jamaa hata kununua an asset, wewe ni kuvaa na kujirusha wkt kuna mwanamke mwenzako kashatafuta kiwanja kwa siri huku mkononi ana angalau robo amount ya gharama nzima ya kiwanja, upo hapo?

Kwa mliooana, mumeo karudi home, hata kabla hujampokea ni makelele mtindo mmoja, unaleta mere allegations kwamba anakusaliti wkt hujathibitisha, yani mawivu yako tu yanakuwehusha, wkt kuna mwanamke mwenzio jamaa akienda kwake anapokelewa kwa utulivu, anaenda kuogeshwa tena kwa maji yenye iriki, anakula chakula tena kile anachokipenda, anakandwa apunguze uchovu then anapumzishwa, unaona hapo?

Dada zangu yani hakuna mwanaume anayeweza kuwa na mwanamke mmoja coz hawezi kuwa na vyote ambavyo wanaume tunavihitaji. Sihubiri michepuko iendelee ila hiyo ndio hali halisi, angalau mjitahidi kuwa mnasoma alama za nyakati ili angalau apunguze michepuko ila sio aache kabisa.
Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Namna ya Kuachana na Mchepuko Wako


1. Jipe nafasi ya kutosha kutafakari kama ni kweli sasa hana maana tena hata kama amekukera

2. Chunguza kwa makini kama kuna hali inayomfanya kuwa hivyo na jaribu kumsaidia aitatue na awe kama mwanzo

3. Orodhesha kila baya na jema na ona upande upi umezidi na hata mmoja ukielemewa angalia
wewe umechangia upande upi katika hayo.

4. Kumbuka mahusiano ya kimapenzi sio sawa na
mchezo wa ngonjera ambao una wimbo wa kuingilia na wa kutokea. Usitoke na wimbo wa mbwembwe nyingi za kumponda halafu baada
ya kuumizwa huko uliko ukaanza kuutafuta wimbo wa kumrudia

5. Mapenzi ni kupitia changamoto na vikwazo mbalimbali mkiwa pamoja na kisha kuyatatua
kwa pamoja.

6. Shetani unayemjua ni bora kuliko malaika usiyemjua. Hapa kumbuka hakuna mahusiano
yasiyo na matatizo yake hivyo vumilia ulipo.

7. Mapenzi ya mwazo huwa na kila aina ya furaha ingawa ni wachache wanaoweza kubakia na hali hiyo hivyo kuwa na msimamo hapo
ulipo

8. Kama unahitaji furaha na mahaba ya dhati anza kwa kutengeneza hapo ulipo usije
tegemea kuwa kuna mtu atakupa furaha kabla ya wewe
kuitengeneza furaha hiyo.

9. Ushawishi wa zawadi na fedha sio mapenzi kwani hata changudoa siku hizi wanatoa zawadi
za pipi ukiwachukua lakini wao wanatengeneza mazingira ya kukukamua hela vyema hivyo
ikubali hali yako.

10. Hakuna hali inayodumu, kama
unamkimbia kwa kuwa ni maskini au ana maswahiba yake binafsi kumbuka hayo ni mapito na baada ya kila usiku mchana nao huja na mambo mapya.

La ziada, kama ukiona umeshindwa haya yote
basi wewe rudia kusoma tena na tena na kuongeza yako mpaka mrudiane na ikishindikana wewe soma tuu

Via: Tabasamu na Fuledi
Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Pongezi Kwenu Kapela na Neema Kwa Kuwa Kitu Kimoja.

Bwana Hamis Kapela na Mkewe, Bi Neema Ntisi
Wapendwa hawa wameungana na kuwa mwili mmoja sasa kwa kuidhinisha maisha yao kwa uhalali mbele ya M/Mungu hapo tarehe 20 Disemba mwaka huu.

Mungu awatangulie katika maisha yenu na mdumu katika pendo lake maisha yenu yote ya duniani na katika utumishi wenu wote katika kulijenga taifa.

#Class_of_2013 SAUT-TABORA [AMUCTA]
Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

MAMBO YA KUFANYA BAADA YA TENDO LA NDOA!


Wapenzi wengi wakimaliza tendo lao la ndoa/ ku-do waweza cheka sana na laiti kama ingetokea ikawa wazi kila anayemaliza akaonekana ni nini hufanya ungeweza cheka sana, kama wewe  ni mmojawapo basi badilika... masuala ya kununiana, kugeuziana migongo na kukingiana makalio, eti kila mtu shuka lake ni aibu sana aiseee, badilikaaa, Raha ni kama hii hapo chini soma zaidi mambo ya kuzingatia;

1.Kuoga pamoja
Mtakuwa ni watu wa ajabu kama mtamaliza kufanya tendo hilo kisha kila mmoja kulala na majasho yake. Wapo wasiojali katika hili na kuona kuoga au kutooga ni uamuzi wa mtu. Elewa linapokuja suala la usafi inashauriwa mkimaliza lazima muoge.

Wapo wanawake ambao wakishamaliza hukimbilia kuwaandalia maji wenza wao, wakishaoga ndipo nawo huenda kuoga. Hivi unaona ugumu gani kwenda kuoga na mwenza wako? Unaijua raha ya kuoga na huyo wako wa maisha?

Wanaofanya hivyo wanajua raha yake na wewe ambaye hujawahi, anza leo. Mmemaliza mambo yenu, chukuaneni kimahaba, elekeeni bafuni kisha ogeshaneni kimahaba.
Baada ya hapo rudini chumbani, mkishajifuta maji pandeni kitandani mkiwa wapesi.
2.Kusifiana
Hakuna muda maalum uliotengwa kwa ajili ya wanandoa kusifiana. Hilo linaweza kufanyika wakati wowote lakini pale mnapomaliza kufanya tendo la ndoa ni lazima utakuwa na jambo zuri la kumuambia mwenza wako.

Msifie kwa utundu na ubunifu wake. Msifie pia kwa mapenzi matamu anayokupa na ikibidi mpe sifa ya uzuri wake kiasi cha kukufanya kila unapokuwa karibu yake ujisikie amani ya kupitiliza.

Wapo ambao hawana kabisa kasumba ya kuwasifia wala kuwashukuru wenza wao kwa mazuri wanayofanyiwa. Yaani wao wanachukulia kila kitu poa tu bila kujali kwamba kusifiana kunanogesha mambo.

3.Kuelekezana
Kwenye kale kamchezo, wapo ambao wanakosea, kuelekezana na kukosoana kwa wapenzi ni jambo la kawaida. Yawezekana mwenza wako alifanya kitu ambacho hakikukufurahisha wakati mkiendelea na burudani yenu, mnapomaliza mwambie lakini kwa lugha ya kimahaba na ya upole. Naamini kwa kufanya hivyo atakuelewa na kubadilika.

4.Zungumzieni maisha
Huu ni wakati muafaka wa kujadili changamoto na malengo katika maisha yenu. Hapa akili zinakuwa zimetulia na kila mmoja anakuwa na mawazo chanya kwa mwenza wake. Jadilini mambo yenu, wekeni mikakati ya kuliboresha penzi na maisha yenu kwa ujumla.

Hayo ni baadhi ya mambo ambayo mnashauriwa kuyafanya pale mnapomaliza kufanya tendo la ndoa. Yapo mnayotakiwa kuyaepuka ili kutotibua furaha iliyopatikana.
Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Masharti ya Kuoa au Kuolewa Huko China..! Balaa Sanaa...!


Ajali za barabarani duniani hutokea kila uchao, na wahitaji wa damu wanazidi kuongezeka huku idadi ya wachangia damu nayo ikizidi kushuka siku hadi siku na kuleta hatari kwa maisha ya 
wahitaji.Kutokana na hali hiyo mji wa Baoji nchini China uko kwenye harakati za uhamasishaji uchangiaji wa damu kwa mtindo wa kipekee , kampeni ambayo imewekwa ni kwamba kama unahitaji kujiunga na chuo,ukitaka kujifunza udereva na hata ukitaka kuoa ama kuolewa sharti uchangie damu, kampeni ambayo imezua mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii.

Sharia hiyo mpya iliyotambulishwa katika jimbo la Shaanxi mjini,itaanza kutumika rasmi wiki ijayo inawataka askari na wanachuo wa mwaka wa kwanza kuchangia damu walau mara moja kwa mwaka .Wananchi wa China wanaotaka kuomba leseni za udereva,wanaopokea vyeti vya uhitimu wa mafunzo, wanaoajiriwa kwa mara ya kwanza, na wale wanaofunga ndoa kwa msajili wa ofizi za mji wa Baoji wanapaswa kuchangia damu kwa lazima kama mchango wao kwa jamii.

Taarifa hii ilichapishwa katika mtandao na website ya mji huo wa Baoji, lakini kampeni hii imekumbwa na changamoto ikiwemo wakaazi wa mji huo kuhoji damu hiyo inayotakwa kwa mtindo huo wanahoji uchangiaji ukoje na damu hiyo itatumika wapi, badala ya kuifikiria Zaidi sharia hiyo mpya.

Katika jimbo la Pujiang lililoko Zheijang wao wameichukulia tofauti kampeni hiyo na hivyo wanaongeza alama za ziada kwa wanafunzi wa sekondari ambao wazazi na walezi wenye utamaduni wa kuchangia damu.

Shared Via: begorgeouswithjeddy.com
Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Kwa Mwanaume Muoaji; Jiandae na Mambo Yafuatayo.


"KATIKA HALI YA KAWAIDA KAMA WEWE NI MWANAUME NA UNATAKA KUOA JIANDAE MAPEMA KWA MAMBO YAFUATAYO"

1. Kujitambulisha Ukweni. Hapo Utatakiwa Uende Kijijini Alikozaliwa Mkeo Mtarajiwa Ukajitambulishe Huko. Kama Mfano Mkeo Anatokea Mwanza, Na Mnaishi Dar, Andaa Nauli Ya Watu Wawili, Malazi Kwa Siku Mbili, Na Utagharamia Shuhuli Hiyo Ya Utambulisho. We Tenga 500,000. Hapo Tuna Assume Mkeo Atajitegemea. Otherwise 800,000 Itakutoka.

2. Kumtambulisha Mkeo Kwenu. Kama Nyie Nyumbani Ni Arusha, Utatakiwa Umpeleke Huko Ngarenanyuki. Sio Umlete Hapo Tabata Mlipopanga. Hapo Sio Kwenu! Andaa Nauli Yako Na Atakaekusindikiza, Nauli Ya Binti Na Mwenzie, Na Gharama Za Vinywaji Na Chakula Siku Hiyo. Utahitaji Kama 700,000

3. Kifuatacho ITV Ni Kuwaalika Wakwe Zako Nyumbani. Uwatoe Watu Kama Nane Mwanza, Uwalete Arusha. Wale, Walale, Wajisaidie, Kwa Gharama Zako. We Acha Ubishi, Tenga 800,000 Tu.

4. Kwani We Wazazi Wako Wanajua Unakooa? Sasa Je? Wasafirishe Kwenda Mwanza! Watu Watano. Utahitaji Kuwa Na 500,000. Beba Pia Atm Card Yako, Kuna Imejensi.

5. Mahari Ndio Topic Inayofuata Sasa. Ukiwa Mjanja, Unganishia Kwenye Hiyo Safari Hapo Juu Uue Ndege Wawili. Pamoja Na Hayo, Itabidi Ubebe 2,000,000.

6. Sasa Kijana Unaweza Kumvisha Mchumba Wako Pete. Nunua Ya Kawaida Kabisa Ya Dhahabu. 350,000. Tukio Lenyewe La Kumvisha Pete Unaweza Ita Marafiki Wawili Watatu Ukatumia 200,000. Au Fanya Sherehe Kabisa. Mi Simo

7. Oke, Sasa Unaweza Kuitisha Vikao Vya Harusi. Tengeneza Kadi Za Mwaliko Wa Kamati Kwa 200,000, Kikao Cha Kwanza Gharama Zote Ni Juu Yako. Andaa 500,000. Swali La Kwanza Kwenye Kikao: “We Una Shing Ngapi?” Sema 1,000,000.

8. Utahitaji 100,000 Ya Sms Na Simu Kukumbushia Michango. (Shukuru Mungu Kuna Cheka Time)

9. Wakati Vikao Vinaendelea, Utatuma 200,000 Kwa M-Pesa Ili Mambo Ya Kimila Yaendelee Kule Nyumbani. We Unaelewa

10. “Darling, Sasa Mi Kwenye Kitchen Party Ntavaa Nini?” 300,000!

11. “Darling, Kuna Mahali Nimeona Gauni Zuri La Send…” 400,000!

12. “Baby, Rafiki Yangu Alinunua Gauni La Harusi China Yani Lilimpende…..” 700,000!

13. Wakati Huo Wewe Mwenyewe Hujajua Utavaa Nini, Hujanunua Pete Za Harusi, Hujamvalisha Best Man Na Mkewe. Tuseme Unahitaji Kama 1,500,000 Maana Utalia Lia Sana. Kumbuka, Gharama Hizi Huchangiwi Na Kamati. Wala Hutarudishiwa.

14. Siku Ya Send Off Lazma Uende Mwanza. Utaenda Mwenyewe? Ndugu Wawili Watatu Na Mshenga 600,000. Kwenye Send Off Utatakiwa Kutoa Sijui Blanketi La Bibi, Vitenge Vya Mashangazi, Na Vikorokoro Kibao. Nunua Hivyo Vitu 300,000 Uende Navyo Ili Kupunguza Gharama. Beba 200,000 Za Wale Mashangazi Watakaoibuka Ghafla!

15. Mshonee Baba Mkwe Suti 100,000 Mama Mkwe Yeye Atavaa Gauni La 50,000.

16. Fotokopi Hiyo Hapo Juu (Namba 15) Kwa Wazazi Wako. 150,000

17. Watu Watakaopenda Kuvaa Sare Wajitegemee! Mimi Sina Hela! Ila Utavishonea Nguo Vile Vitoto Kwa 80,000.

18. Siku Mbili Kabla Ya Harusi, Utaanza Kupokea Wageni. Unatakiwa Uwatafutie Malazi Na Chakula. Kwa Ujumla Utahitaji Kama 500,000

19. Jioni Watoe Auti Mashemeji Zako Ambao Hawajawahi Kufika Dar Ukawanunulie Bia Ili Wakuone Wa Maana. 200,000

20. Siku Ya Harusi Bibi Harusi Na Mwenzie Na Watoto Na Ma Maids Watatakiwa Wakapambwe Saluni. 200,000

21. We Na Mwenzio Mtaenda Kunyoa Hapo Kwa Nanii. Ndevu Na Nywele Na Black Kibishi 40,000

22. Siku Ya Harusi Beba Sadaka 10,000. Wakati Huo Umeshamtuma Kijana Akakulipie Hoteli Mtakayofikia Baada Ya Harusi. Kamati Haitoi Hela Hiyo, So Utalipa Malazi Ya Siku Mbili 200,000

23. Kama Mtaenda Honeymoon Sehemu Yoyote Nzuri Nzuri Nje Ya Mji, Si Chini Ya 800,000 Kwa Angalau Siku 5.

24. Wakati Uko Huko Honeymoon, Huna Hata Kumi, Mwanakamati Mmoja Ambae Hakuchanga Anakupigia Simu “ Sasa Tunavunja Lini Kamati?” Pesa Yote Iliyochangwa Ilitumika Kwenye Harusi, Sasa Gharama Za Kuvunja Kamati Ni Za Nani?? 500,000!

25. Sasa Mnaanza Maisha Ya Unyumba.

WANAUME MPO HAPO? KAMA KUNA LAKUPUNGUZA SEMA KATIKA COMMENT NA LAKUONGEZA TUPE MAONI YAKO PIA.
Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Mmegombana Na Mpenzi Wako? Hizi Hatua 5 Za Kuzungumza Naye


HATUA 5 ZA KUZUNGUMZA NAMPENZI WAKO ALIEKASIRIKA
***

Kwenye mapenzi kuna nyakatiza kutofautiana, kukasirishana. Katika hali ya kawaida kipindi hiki huwa ni cha hatari kwasababu husababisha nyufa kubwa za uhusiano na kulifanya penzi kukosa ladha. Sote tunajua, watu hupigana, huachana, hujeruhiana, hutukanana, hudhalilishana wakiwa na hasira. Hata hivyo si wote wanaojua wafanyenini wanapojikuta wameingia kwenye hatua hiyo mbaya. Msomaji wangu, hebu jaribu kukumbuka ugomvi mmoja uliotokea kati yako na mpenzi wako na ikiwezekana jikumbushe mlivyoanza! Utabaini kuwa mlianza kama utani na mkajikuta mmefurikwa hasira, mkatwangana makonde, mkatamkiana maneno makali ya kuudhi napengine mkaamua kuachana. Yote hii ni kwa sababu mlikosa elimu ya mazungumzo. Ingekuwa mmoja wenu hasayule aliyekuwa wa pili kukasirika anafahamu hatua zakuzungumza na mtu aliyekasirika angechukua jukumu la kutuliza machafukona kuleta amani kwenye mapenzi. Tazama hatua tano za kuzungumza na mpenzi aliyekasirika.

MPUNGUZE MHEMKO.

Hasira hujaza kifua, huathiri mzunguko wa damu na ufahamu. Mtu aliyekasirika huwa vigumu kwake kusikiliza au kutazama mambo kwa jicho la tatu. Mwenye hasira huwa hafikirii matokea yajayo badala yake hutazama zaidi tukio na jinsi ya kupata ushindi iwe kwa maneno au kwa mapambano. Katika hali ya namna hiyo, mtumwingine akija na busara zakutaka kumgeuza haraka haraka hawezi kumuelewa.

Muhimu hapo ni kuacha kumwadama, kujibizana naye, kumshawishi asikilize badala yake mpe nafasi ya kusema atakavyo, abwate ajuavyo huku wewe ukimuitikia nakumkubalia lawama zake. “Basimpenzi mwenye makosa ni mimi.” Kauli za aina hii zitampunguza hasira kwaniatajiona mshindi.

MSOME SAIKOLOJIA YAKE.

Kwa kuwa unamfahamu mpenzi wako kwa kina itakuwa rahisi kwako kumtambua kuwa amepunguza hasira na kurudi katika hali yake ya kawaida. Ukishafahamu hilo chukua jukumu lakumsoma kisaikojia ili kujuakama yuko kwenye hali nzuri ya kusikiliza yale uliyotaka kumwambia wakati alipokuwa na hasira. 

Zoezi hili linaweza kuchukuasaa kadhaa na wakatimwingine hata siku mbili. Lengo ni nini? Ni kupata matokeo sahihi ya kuondoa chuki za mwenza wako na kumfundisha madhara yaku kasirika kwenye uhusiano wenu wa kimapenzi. “Jua nakupenda sana, lakini juzi uliniumiza, uliniambia mimi malaya kwa kosa ambalo sikufanya?” Bila shaka muda huo atakusikiliza zaidi kuliko ungebishana naye alipokuwa na hasira.

MRUHUSU AKUJIBU.

Pamoja na kumsoma kisaikojia na kumwambia kinagaubaga makosa yake, usimzuie kujitetea, mpe nafasi ya kuzungumzia kilichomkasirisha. “Unaona bado unanitukana, sasa naamini siku ile ulikuwaumedhamilia.” Usiseme hivyo, mwache ajibu hoja hata kama atakuwa anakukandamiza na kuzidi kujijengea ushindi. Mvumilie aoshe ubongo wake. 

EPUKA MARUMBANO.

Kama nilivyosema hapo juu, wapenzi wengine huwa wagumu kuelewa, ni watu wa kuficha udhaifu wao na kutopenda kuonekana wamekosea. Watu wa namna hii unapowarejeshea mazungumzo wanaweza kujikuta wanahamaki tena. “Kwa hiyo ulikuwa unasemaje… nilifanya ndiyo,… wewe unaamuaje?” Mkifika kwenye alama hiyo usikubali kurumabana naye mwacheaseme halafu wewe ingia kwenye hatua ya tano.

MUOMBE MSAMAHA.

Hata kama atakuwa yeye ndiye mwenye makosa na amekataa kukiri, usijali, chukua jukumu la kumuomba msamaha na kueleza tena nia yako ya kuwa mazungumzo ilikuwa nikuelewana si kugombana. Kumbuka hata kama amekirikosa, bado unatakiwa kumuomba radhi kwa kurejea yaliyopita. "Mpenzii inawezekana nikawa nimekuudhi kwa niliyosema, nakuomba sana tusameheane".

Bilashaka kwa haya machache msomaji wangu utakuwa umejifunza nakuchukua hatua za kuzuia migogoro mikubwa inayotokana na hasira za mpenzi wako.
Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

MJOMBA AIBA MKE WA MPWA WAKE, WAPIGANA, MCHEPUKO SIO DILI BAKI NJIA KUU

Michepuko sio dili

Mjomba akiomba msamaha kwa mpwa wake.
TIMBWILI la aina yake lilifumuka ndani ya gesti moja iliyopo Mbezi Afrikana jijini Dar es Salaam (jina kapuni), kufuatia kijana aliyefahamika kwa jina moja la Kelvin kumkuta chumbani mtu aliyedai ni mjomba wake, Joseph akiwa na mkewe wa ndoa, Emiliani.

Mjomba wa Kelvin(Joseph) akimsihi Mpwa wake amsamehe mara baada ya kukutwa gesti na mke wa Kelvin.
Mkasa huo wa ajabu ulijiri usiku wa Jumamosi iliyopita kwenye gesti hiyo iliyopo Mbezi ya Afrikana jijini Dar es Salaam.

Kelvin (kulia)'akidili' kisawasawa na mjomba wake.
“Mimi ni mpishi wa futari hapa Mbezi Afrikana kuna baba mmoja na ndugu zake wanachakazana, kisa wamefumaniana kwenye gesti ya (akaitaja jina). Ipo hapahapa jirani njooni muwahi.”SOMA ZAIDI>>

Mlinzi wa gesti akijaribu kumzuia Kelvin asizidi kumjeruhi mjomba wake.
OFM KAZINI, AIBU!
Kufuatia taarifa hiyo, mkuu wa zamu wa OFM aliwaagiza mapaparazi wake wanaotumia pikipiki ziendazo kasi ambao walitumia muda usiozidi robo saa kutoka walipokuwa kufika eneo la tukio ambapo walimkuta Kelvin amemvaa mjomba ‘ake chumbani ambapo timbwili zito lilitifuka. Walikuwa wakigaragazana huku mjomba mtu huyo akiwa kama alivyozaliwa na damu chapachapa jambo lililomtia aibu!

Mjomba akiwa chumba cha gesti mara baada ya mkong'oto 'hevi' kutoka kwa mpwa wake.
PICHA ZA TUKIO
Mapaparazi wetu bila kuzubaa nao walianza kuchukua picha za tukio hatua kwa hatua. Wakati Timbwili likiendelea, Joseph alikuwa akipiga mayowe kumuomba mpwa wake huyo amsamehe ili wayamalize kimyakimya na kumsihi asisambaze habari hizo zikafika mpaka nyumbani kwa mke wake. 

MKE ATIMKA KINYEMELA 
Katika hali ya kushangza, wakati wawili hao wakiendelea kuangushana chumbani, mke huyo alipata upenyo na kuchoropoka, akatimua mbio kwa kuhofia kipigo na kukwepa kamera za OFM.
...Mjomba taratiiibu 'akirejesha' mavazi mwilini mwake.
MLINZI WA GESTI 
Timbwili la wajomba hao lilitulizwa na mlinzi wa gesti hiyo (jina halikujulikana) ambaye alitumia mabavu na kufanikiwa kuwadhibiti na kuwaweka kitako. 
MJOMBA MTU AGOMA KWENDA POLISI
Baada ya kutulizwa, Kelvin aling’ang’ania waende polisi lakini mjomba mtu alikataa katakata akimbembeleza mpwa wake kwamba wayamalize na kuahidi kutorudia tena mchezo huo huku akisema mwanamke huyo alimuwekea mtego wa makusudi.
CHONDECHONDE KELVIN
Baadhi ya waungwana waliofika kushuhudia tukio hilo walimsihi Kelvin kumsikiliza mjomba ‘ake na kupokea fidia kidogo kwani kuyasongesha mbele mambo hayo ni aibu kwa familia yao na kumtia matatani mjomba huyo kwa mkewe. MJOMBA ‘AJIKOMITI’ KIMAANDISHI
Kufuatia maombi ya watu, akiwemo mlinzi wa gesti hiyo, Kelvin alikubali kumsamehe mjomba wake ambaye naye ‘alijikomiti’ kimaandishi (kopi tunayo) kumlipa Kelvin fidia ya shilingi laki tano (500,000) na kuahidi kutorudia kummendea mke wake.
Sehemu ya nyaraka ikionyesha mjomba 'akijikomiti' kimaandishi.
Katika barua hiyo aliyoaindika Joseph kwa mkono, alikiri kukutwa na mke wa Kelvin na kusema anatoa shilingi laki tatu (300,000) siku hiyo kisha kiasi kinachobaki atatoa siku inayofuata. 
MGONI AGEUKA NA KWENDA KUFUNGUA KESI
Hata hivyo, taarifa zilizotufikia wakati tunakwenda mitamboni zinadai kuwa, Joseph alikwenda kituo cha polisi (jina halijajulikana) kumfungulia kesi mpwa wake Kelvin na mkewe Emiliani akidai walipanga kumfanyia fumanizi.KUTOKA KWA MHARIRI
Kwa sababu kisa hiki kinadaiwa kufikishwa polisi na Joseph, magazeti pendwa ya Global yataendelea kukifuatilia ili kujua mwisho wake. Endelea kusoma.
Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Picha Za Utupu Za Mdada Wa Chuo Kikuu Zaachiwa Mtandaoni

Mdada Anaitwa Linda wa Huko chuo kimojawapo cha Nigeria. Umakini unahitajika na kuwa na mipaka ya kujiachia. [fedheha hizi]


Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

MPE NYAMA YA HAMU NA YEYE AKUPE TAMU YA HUBA


...anza kwa kumlaza chali kisha mshike kwa upande wa kushoto kidogo......raha ya huba iko hapa malizia haya mautundu mpaka apizi kabla ya mchezo...
KUTANUA RAHA YA MPENZI. 
Kutanua raha ya mume: 
Wanaume wengi wamezoea sana kuwa juu ya mwanamke wakati wa kufanya mapenzi na wengine hupata shida kulala na kuwa katika sehemu ya kupokea. Katika hali hii inakuwa rahisi kuendeleza msisimko wa raha bila kumalizia kwa kuwa nguvu ya mvutano ni ndogo. Mwanamke aanze kwa kupapasa papasa uume wa mumewe, ni muhimu kukumbuka kuwa hata kama uume haujasimama bado uwezekano wa mwanaume kuanza kupata raha ni mkubwa. Hivyo uwe umesimama au haujasimama basi uwezekano wa yeye kusimamisha upya ni mkubwa sana. TUTAENDELEA....
Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

SERENGETI BOY AJIACHIA NA MPENZI WAKE WA MIAKA 91

Kyle akiwa katika pose na mbebz wake wa miaka 91 na kudai kwamba wanafuraha.
Kyle Jones, 31, anasema hajawahi kuwa na msichana umri wake au mdogo kwake. Pichani waki peana busu na totoz yake Marjorie McCook, 91.h
Pamoja na kuwa na mahusiano na Marjorie, 91, (kushoto) Kyle ana mahusiano na Anna Reimol , 67, (kulia) pamoja na wanawake wengine watatu wa makamu.
Kyle aanedai kuvutiwa na watu wazima amepeleka mbebz wake kumtambulisha kwa mama yake mzazi kulia. (Via: Jestina George)
Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

SILAHA YA UAMINIFU KATIKA MAPENZI YA KWELI HII HAPA

NI furaha iliyoje kukutana tena katika safu yetu nzuri ya kuelimishana juu ya mapenzi? Sina shaka utakuwa mzima wa afya njema na upo tayari kupata kitu kipya. Nakukaribisha kwa moyo mkunjufu tuongeze maarifa.

Rafiki zangu, leo nazungumza juu ya jambo muhimu sana katika mapenzi; uaminifu. Huu ndiyo msingi wa uhusiano, ndoa na mapenzi. Ikiwa uhusiano utakosa uaminifu, ni wazi kwamba hautakuwa na umri mrefu.

Uaminifu ni jambo lenye mvutano mkubwa, ni mjadala usiokwisha tangu kuwepo kwa mapenzi. Ukweli ni kwamba uaminifu ndiyo kipimo cha kwanza cha kugundua kama penzi lako ni la kweli au moyo wako unakudanganya.

Hata hivyo upo ukweli ambao hauwezi kukwepwa! Uaminifu unawashinda wengi sana walio kwenye uhusiano. Watu wanashindwa kuwa waaminifu kabisa. Pamoja na yote hayo, zipo sababu ambazo zinaelezwa zinasababisha mwenzi kukosa uaminifu kwa mpenzi wake.
Hebu twende tukaone ni kwa nini watu wanakosa uaminifu.

KUKULIA KATIKA IMANI...
Hili ni la kwanza kabisa ambalo unapaswa kulifahamu rafiki yangu mpenzi, malezi ya kiimani! Neno uaminifu tukilinyambua tunapata maneno imani, amini na aminiana. Kwa msingi huo basi, ikiwa mpenzi wako hajakulia katika mazingira mazuri ya kiimani kulingana na taratibu za dini anayoiamini ni vigumu sana kuwa mwamnifu au kukuamini!Hii ina maana kwamba wakati unachagua mchumba ni vizuri kuangalia pia suala la imani ya dini yake.

Je, ni muumini kikamilifu katika imani yake? Maana katika imani za dini, kitu cha kwanza kabisa kufundishwa na kutiliwa mkazo ni uaminifu! Katika uaminifu huwezi kukuta uongo, usaliti, masengenyo na mengine mengi ambayo siyo mema.
Mwaminifu ana hofu, atapenda kuzungumza ukweli siku zote maana imani ya dini yake inamsuta.

 UNAPASWA KUWA MWAMINIFU
Ikiwa ni kweli unahitaji kuwa na mwenza wa peke yako, basi lazima uanze kujiamini kwanza wewe mwenyewe. Hili ni jambo la kwanza kabisa kwako, ukikosa uaminifu basi ujue lazima mpenzi wako naye atakusaliti.

Jifunze kuwa mkweli siku zote, kila mmoja anajua jinsi gani ukweli unavyouma lakini unapomwambia mpenzi wako ukweli anajisikia furaha, huru na amani kuwa na wewe. Anajiona bora maana amepata mpenzi mkweli na muaminifu.

Hakuna haja ya kumdanganya mpenzi wako ulipotoka kazini ulipitia kwenye pati wakati ulikwenda kuangalia shoo kwenye kumbi za burudani.

Kumbuka kwamba unaweza kumdanganya na akakuamini lakini kumbe ukiwa huko kwenye starehe zako kuna mtu anayemfahamu mpenzi wako alikuona na akaenda kumwambia, unafikiri akikuambia ulionekana huko itakuwaje?

Lazima atahisi kuna kitu kingine unamficha ulichokuwa ukifanya huko, ingawa pengine hukuwa na kitu kibaya zaidi ya kuangalia shoo ya bendi uipendayo; sasa ili uweze kuzima hisia hizo ni vyema kuwa mkweli. Mweleze tu: “Samahani sweetie, unajua jana nilikuwa nimechoka sana, rafiki yangu akaniomba niongozane naye kwenye muziki, lakini naomba unisamehe sikuweza kukutaarifu mapema.”

Ni sentesi fupi inayoonyesha uungwana wa hali ya juu, uaminifu na kujali uwepo wa mpenzi wako. Hapa unamfanya ajisikie yeye ni maalum kwako.

NI MWAMINIFU KWAKO?
Katika ulimwengu wa mapenzi, hili ni jambo la msingi sana. Huna sababu ya kuwa na mpenzi asiye mwaminifu, sasa ili usije ukaingia katika mkumbo huu ni vizuri kumchunguza lahazizi wako kwa muda mrefu.

Mwekee mitego, chunguza kauli zake, kumbukumbu zake na mienendo yake, ana uaminifu kweli? Maana asiye mwaminifu hupoteza kumbukumbu juu ya mambo aliyoyafanya.

Hata kama unampenda kiasi gani lakini kama umegundua hana uaminifu ni vizuri kuachana naye mara moja. Mpenzi asiye mwaminifu wa kazi gani? Sana sana atakusababishia presha bure!

JIAMINISHE
Ikiwa ni kweli unampenda mpenzi wako kwa dhati basi inabidi ukubali kuwa katika himaya yake kiuaminifu. Hii ina maana kwamba, mwenzi wako ana uhuru wa kukuchunguza atakavyo ili aweze kuwa na amani ya moyo wake kwako.

Umpe uhuru wa kuishika simu yako na ikiwezekana kuikagua na kukuuliza maswali kuhusu chochote kilichomo katika simu yako. Kama ‘umesave’ picha ya mtu wako wa nje, akaiona na kukuuliza ni kwa nini unayo hiyo picha kwenye simu yako uwe na sababu za maana za kumweleza!
Huwezi kutaka uaminifu katika penzi lako kama wewe mwenyewe hutaki kuwa katika himaya ya uaminifu.

ANZA KUWA MWAMINIFU!
Ni kweli kwamba kipengele kilichopita ni kigumu sana hasa kwa wanaume wenzangu lakini kama ni kweli una mapenzi ya dhati kwa patina wako inakubidi ukubaliane nacho. Silaha pekee ya kuweza kuwa huru na kipengele hicho ni wewe mwenyewe kuwa MWAMINIFU.

Anza sasa kuwa mwaminifu na utafurahia mapenzi ya kweli kutoka kwa mpenzi wako. Inawezekana kuna vitu vingi ulikuwa ukivikosa kwa mpenzi wako, lakini kumbe tatizo lilikuwa dogo sana, uaminifu! Kwa nini uaminifu ukushinde? Inawezekana kama utauachia moyo wako kikamilifu kwa mwenzi wako. Chukua hatua.
Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Wakubwa Tu: STYLE 6 ZA KIUFUNDI WAKATI WA TENDO LA NDOA

"Ndugu wasomaji wangu, katika pitapita nyingi katika mitandao tofauti nikakutana na habari njema kama hii, nikizingatia pia wasomaji wengi hupenda sana elimu hii nikaamua kuchukua nafasi hii kuhakikisha unafikiwa na uhondo huu, napenda kukushirikisha kwani wengi waliopo katika mahusiano wanamengi sana yanayowakumba hasa katika kupeana tamu tamu za radha tofauti.

Ni kweli kwamba utundu ukisahaulika katika ulaji mzuri wa pilau basi utadharaulika na kuonekana hujui kumbe mambo mazuri yapo tu hapa wazi na hakuna wakumlaumu eti mwanaume huyu hajui au mwanamke huyu hajui, wote mnatakiwa kuwajibika kuchochea maufundi. Kumbuka pia mautundu yanahitaji tahadhari ili kuepuka michubuko itakayopelekea madhara mengine"
Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
© Copyright Mahaba Live
Back To Top