![]() |
Bwana Hamis Kapela na Mkewe, Bi Neema Ntisi |
Wapendwa hawa wameungana na kuwa mwili mmoja sasa kwa kuidhinisha maisha yao kwa uhalali mbele ya M/Mungu hapo tarehe 20 Disemba mwaka huu.
Mungu awatangulie katika maisha yenu na mdumu katika pendo lake maisha yenu yote ya duniani na katika utumishi wenu wote katika kulijenga taifa.
#Class_of_2013 SAUT-TABORA [AMUCTA]