Featured
Loading...

Majengo Yenye Sura Za Ajabu Duniani [Picha 20]

Oh, the wonders of modern architecture! The geniuses of architecture today continue to create design masterpieces that could make one proud of being a citizen of the 21st Century! Enjoy the beauty of these modern architectural masterpieces!
Cybertecture Egg – Mumbai, India,
Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Looh...! Urodah Wa Matiti Makubwa Kama Haya...!


Mwanamke huyu anashika nafasi ya kwanza kwa wanawake akiwa na matiti makubwa kuliko wote duniani lakini ni yale fake (bandia) ya kuongeza ambapo jina lake anaitwa Mayra Hills raia wa Ujerumani. Kila titi lake moja lina ujazo wa kilogramu 10 sawa na ndoa ndogo ya maji na anavaa brazia size ya 32 ambapo kwa wanawake wanajua kuhusiana na hili yani zile nguo za kusimamisha maziwa, kama ujuavyo kuna wanawake wengine wanakua wanachukia miili yao sana lakin kwa huyu imekuwa ngumu na kila siku amekuwa akitupia picha zikionyesha maziwa yake yalivyo lol ebu tizama hapa chini ujionee
 Yawezekana yanampa ulaji au raha yeyeto maishani hapa duniani


Waweza jiuliza yanafaida gani, naamini jibu la moja kwa moja shida kupatikana ila wenye nayo wanaijua. Au la msomaji wetu wafahau vizuri faida ya jambo hili, basi tuambie.
Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

JASIRI; Angalia Picha Za Michezo Hatari Zaidi Duniani

Hii ishara inaonesha kuwa hautakiwi kunywa pombe .. sasa huyu jamaa anapata shida sana akitaka kunywa maji au chakula maana anatafuta kanafasi kadogo ili kufanya hivyo.
Ni alama ya tahadhali hii ni moja ya mamia ya watu ambao hawali nyama huko Thailand , huyu anaamini kwa kujiweka mapaga makali na kujichoma hivi itasaidia watu kuacha maovu kabisa na kuwapa amani mioyoni mwao
Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

MAUAJI YA KUTISHA:AMUUA MKEWE KWA SULULU, AJINYONGA

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Kikongwe Ajichongea Jeneza Kwa Ugumu Wa Maisha

Bi Scholastika Mhagama akiwa katika mlango wa nyumba yake.
Na Oswald Ngonyani wa demashonews
– Peramiho –
Wahenga walisema ‘Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni;’ Jamii inazidi kujawa na chuki naukatili ndani yake, imekuwa kawaida siku hizi kusikia fulani kamuua fulani kwakisa kisichokuwa na maana.Maalbino wanakatwa viungo vyao kwa visingizio vya
kupata utajiri kwa watu wasiokuwa na huruma, watoto wadogo wananyimwa haki zao na kuwekwa ndani ya maboksi na wengine kuishi maisha yao katika uvunguza
kitanda yote haya ni mambo ya kutisha yanayotendeka katika jamii zetu.
Hali imekuwa tete amani na upendo vinazidi kuyeyuka
kama barafu, watu hawana utu tena, wamejivika ngozi za kondoo wakati mioyo yao ni ya Simba, hakuna tena roho ya huruma kwa wanadamu wa dunia ya leo.
Choo cha bibi Scholastika Mhagama
Jeneza la bibi likitolewa ndani kwake na wanachama wa Kombination Camp
Jeneza la Bi Scholastika Mhagama

Akielezea historia ya maisha yake Bi Scholastika
anasema alizaliwa akiwa na miguu yote lakini alipata bahati mbaya ya kugongwa
na nyoka alipokuwa darasa la pili hali iliyomfanya kukatwa mguu ili kuepusha
madhara mengine kama vile kifo. Hivyo maisha yake yalibadilika na tangu hapo
akawa mlemavu.

Hali hiyo ya ulemavu lakini pia uzee alionao vimemfanya ashindwe kujihudumia kwa lolote zaidi ya kupika tu. 

Hata hivyo anakosa mahitaji muhimu kama vile maji na chakula
hali inayomfanya alale na njaa kwa baadhi ya siku.Kwa hali aliyo nayo ni wazi kuwa Bi Scholastikaanahitaji baiskeli ya miguu mitatu (wheel chair) ambaye itamwezesha kutembea kwa kuwa hivi sasa anatambaa na kupata maumivu makali kutokana na nyama
iliyobakia kwenye nyonga baada ya kukatwa mguu.

Bi Scholastika anazidi kueleza kuwa kuna watu waliwahi kufika kumuandikisha jina lake na kumuingiza katika orodha ya watu wanaostahili kupata msaada lakini anasikia misaada inafika kwa jina lake lakini yeye mwenyewe hajawahi kuipata.

Vipi kuhusu Sera ya Wazee?Kwa mujibu wa Sera ya Taifa ya Wazee ya mwaka 2003
inaweka bayana kuwa suala la uzee na kuzeeka limekuwa lenye umuhimu mkubwa
ambapo karne ya ishirini imeshuhudia ongezeko kubwa la idadi ya wazee.

Kwa kurejelea takwimu zilizopo ni kwamba, ifikapo mwaka 2050 idadi ya wazee wenye umri wa zaidi ya miaka 60 nchini hapa itaongezeka na kufikia wazee milioni 8.3 (Sawa na asilimia 10 ya watanzania wote)

Kama hiyo haitoshi, Taarifa ya Umoja wa Mataifa ya mwaka 1999 inaeleza kuwa kumekuwa na ongezeko kubwa la idadi ya wazee duniani na kwamba ongezeko hilo linaonekana zaidi katika nchi zinazoendelea (Tanzania ikiwepo) ambapo viwango vya ongezeko hilo havilingani na uwezo wa rasilimali zilizopo za kuwahudumia.

Rasilimali hizo zinajikita zaidi katika Nyanja za
msingi katika makuzi ya binadamu yoyote zikiwemo Nyanja za afya, lishe na
huduma nyingine za msingi zisizoweza kuepukwa na binadamu yeyote.
Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
© Copyright Mahaba Live
Back To Top