BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE
Hii imetokea kufuatia na mvua kubwa iliyonyesha jana usiku jijini Dar, maeneo mengi ya mabondeni yameathirika na mafuriko. Hapa ni eneo la Msufini, Kinondoni Msisiri ambapo pamejaa maji.
(Pic. By Mkala)
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!