
Mwili wa marehemu Michael Samson Rweyemamu (1981-2014) katuka jeneza kwa heshima za mwisho kwa ndugu, jamaa na marafiki waishio Tabora wakiuaga kwa safari ya kuelekea Bukoba kwa mazishi. Zoezi hili la kuuaga mwili huo lilikamilika jana na kuanza safari.



Heshima za mwisho zikitolewa.




Mwili wa marehemu ukioneshwa kwa mara ya mwisho kabla ya kuaanza safari

Baadhi ya watu waliohudhuria kuuaga mwili wa marehemu.
Mapema tutaruasha video nzima ya kuuaga mwili wa marehemu.






