Featured
Loading...

SHIJA SASA ATAMANI NDOA NA WASTARA

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE


Stori: Gladness Mallya

MSANII wa filamu Bongo, Deogratius Shija amefunguka kuwa anatamani sana kumuoa msanii mwenzake, Wastara Juma lakini anaamini kikwazo kitakuwa ni dini.
Msanii wa filamu Bongo, Deogratius Shija.

Akistorisha na paparazzi wetu, Shija alisema tangu kabla msanii huyo hajaolewa na aliyekuwa mumewe, Marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’, alikuwa anampenda lakini bahati haikuwa yake hivyo kwa sasa anatamani ndoa na mwanamke huyo.

Msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma.

“Unajua natamani sana kumuoa Wastara ila sidhani kama atakubali kubadili dini kwani ni Muislamu haswa, kwa upande wangu siwezi kubadili dini kwa sababu nampenda sana Yesu. Ila ni jambo linalozungumzika,” alisema Shija.

Ijumaa lilifanya jitihada za kumtafuta Wastara ili kuzungumzia ndoto hiyo ya Shija lakini hakuweza kupatikana mara moja.
GPL

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top