.jpg)
Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalumu Mhe.Samia Suluhu akiwa
anafuatilia mchango wa Mhe.William Lukuvi kwa makini.

Wabunge wakifuatilia jambo kwa makini.
.jpg)
Hali ya Ukumbi Ulivyo kuwa Jana ambapo Wabunge wakifuatilia jambo
kwa makini na ustaarabu wa hali ya juu.
.jpg)
Hali ya hewa yarejea kuwa ya kawaida bunge maalum la katiba mjini
Dodoma