Featured
Loading...

TATOO 2 MPYA ALIZOCHORA DIAMOND, ZICHEKI HAPA.

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE


Msanii nyota kutoka Bongo Diamond Platnumz ameonekana akiwa na tattoo nyingine mbili kwenye mwili wake tofauti na zile alizochora akiwa China. Tattoo hizo kama ukiitizama hii picha ya juu vizuri utaona kuna tattoo iliyoandikwa CHIBU pamoja na mkononi hapo iliyoandikwa SANDRA.
Siku ya tarehe 15 mwezi huu mchora tattoo maarufu hapa Bongo alipost picha hii akiwa na Diamond na kuandika status hii nainukuu

“A late night Tattoo session (4am) with a friend who is our very own Diamond Platinumz. Next session Pizza on me (lol), stay blessed. Shout out Romeo Romy Jones, one love.”

So inaonyesha kabisa kuwa tattoo hizi mbili Diamond alizichora kwa master huyu anayejulikana kwa jina la BOAZ ndiye aliyemchora Diamond. [Via BongoClanTz]

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top