Elizabeth Michael a.k.a Lulu, leo anatimiza umri wake wa miaka kadhaa. Lulu ni msicha mwigizaji wa Kitanzania mwenye umaarufu mkubwa na sifa za kipaji maridadi cha uigizaji wake hapa nchini. Amekuwa kivutio kwa wengi wenye ndoto za mafanikio kama yake. Hongera sana Lulu kwa kurehekea siku hii muhimu sana kwako.
Loading...
MAPENZI MATAMU BLOG






